Zantel Yatowa Elimu Kwa Wafanyakazi Wake Kuwajengea Uwezo

Kampuni ya mawasiliano ya Zantel hivi karibuni iliandaa mafunzo maalum kwa wafanyakazi wake kwa ajili ya kujenga timu bora (team building) yenye ari kubwa ya kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa na kufanikisha malengo katika kipindi cha mwaka 2019. Mafunzo hayo ambayo yalijumuisha wafanyakazi kutoka vitengo mbalimbali yalifanyika wilayani Bagamoyo katika mkoa wa Pwani.


Mkuu wa kitengo cha Raslimali Watu wa Zantel, Joan Makwaia Kazimoto,akiongea na wafanyakazi wakati wa mafunzo hayo ya team building.
Baadhi ya wafanyakazi wa Zantel wakimsikiliza kwa makini Mtaalamu Ushauri wa masuala ya ulinzi wa Zantel,Abdallah Msika wakati wa mafunzo hayo.
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya ushauri wa masuala ya kazi ya Empower Limited, Miranda Naiman,akitoa mada kwa wafanyakazi wa Zantel wakati wa mafunzo hayo
error: Content is protected !!