Wahasiriwa wanatishiwa kuwa akaunti zao zimedukuliwa.

Maelfu ya watu kote duniani wamekuwa wakipokea ujumbe kutoka kwa watu walaghai mitandaoni. Ujumbe huo ni tofauti na ujumbe mwingine kwasababu wahasiriwa wanatishiwa kwamba akaunti zao zimedukuliwa. Kitengo cha BBC Trending kimebaini jinsi watu wanavyo hadaiwa na walaghai wanaodai kuwa na ushahidi wa kuthibitisha wamekuwa wakitembelea mitandao yenye utata ambayo huonesha picha za utupu.

CHANZO: BBC

error: Content is protected !!