TOVUTI YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA YADUKULIWA

Wakati tukisherehekea kuukaribisha mwaka mpya 2019, jana December 31, 2018 wahalifu wa mtandao wamedukua tovuti ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University of Tanzania)

Wadukuzi hao wanaojiita “TANZANIAHACKERS” walidukua mtandao huo wa chuo na kuacha ujumbe kwenye mtandao chuo:


HAPPY NEWYEAR @TANZANIAHACKERS

Description: WE ARE IN >>>>>HAPPY NEW YEAR SYSTEM ADMINS UCHWARA hapa kazi tu we r in ….wewe admin unachekesha saana . sio kwa hii loopholes …sasa kama serikali iliwapitisha au ulipitishwa kwa njia za kipuuzi kumbe una zero…mwaka huu 2019 jiandae … ndo tunaamka sasa NAKUMBUKA TUNAZO DETAILS ZENU ZOOTE ….DATABASE DUMPS, UR PORTAL SYSTEM KIL KITU ..SASA CHENGESHA AKILI…HAKUNA KULALA MNATUACHA vijana wenye uwezo mtaniiii mnawaaajiri hawa admins uchwara ambao hawajui kazi sasa TUTAKULA SAHANIII MMOJA. KWA UPENDO WA NCHI YETU HAPPY NEW YEAR…..


error: Content is protected !!