TANGAZO RASMI KWA UMMA

Nembo ya kampuni ya Moyo Media Co. Ltd

Kampuni ya Moyo Media ni kampuni iliyoanzishwa mnamo mwa 2008. Tunajihusisha na kutoa na kuuza huduma na bidhaa mbali mbali zinazohusiana na masuala ya Habari na Mawasiliano.

KWA KUAZIMISHA MIAKA 55 YA MAPINDUZI ZANZIBAR tunayo furaha kujumuika na Wazanzibar wote katika siku hii adhimu. Kampuni itatoa punguzo maalum kwa bidhaa na huduma zitolewazo. Punguzo hili litamuwezesha mteja KUOKOA FEDHA ZAKE KWA PUNGUZO LA 15% KWA KILA BIDHAA/HUDUMA UTAKAYO NUNUA  KUTOKA MOYO MEDIA CO. LTD

COUPON: #MAPINDUZI2019

MIONGONI MWA BIDHAA NI KAMA IFUATAVYO:

Web Solutions

BIDHAA KUTOKA KASPERSKY LAB:

Kaspersky Small Office Securit

Wasiliana nasi kwa email: info@moyomedia.co.tz au Tufuatilie katika mitandao yetu ya kijamii ya #Facebook, #twitter, #GPlus, #Pinterest

MWISHO WA OFA HII NI TAREHE 31/01/2019

Karibuni sana,

IMETOLEWA NA:

AFISA MASOKO MKUU, MOYO MEDIA CO. LTD

error: Content is protected !!