Shirika la Amnesty International latolea wito UM kuingilia kati sakata la Uyghur

Shirika la Umoja wa Mataifa Amnesty International   latolea wito Umoja wa Mafaita kuingilia kati ukiukwaji wa  haki za binadamu  dhidi ya jamii ya Uyghur.

Uyghur  wamezuiliwa katika  kambi   kwa pamoja .

 Shirika hilo  la  kutetea haki za binadamu limetolea wito  Umoja wa Mataifa kutuma tume ya uchnguzi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu  wanaotendewa waislamu jamii ya Uyghurn  nchini China.

 Shirika hilo la Amnesty International   na mashirika mengine  ya kutetea haki za binadamu  yametolea wito Umoja wa Mataifa  kuchunguza tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu  dhidi ya waislamu jamii ya Uyghur Xinjiang China ambao wamezuiliwa  katika kambi za pamoja.

Amnesty international, Human Rights Watch, Umoja wa jamii ya Uyghur na mashirika mengine yametolea wito Umoja wa Mataifa  kucunguza tuhuma  za ukiukwaji wa haki za binadamu.

Mssemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Uturuki Hami Aksoy amesema kuwa   madhila na unyanyasaji wanaotendewa waislamu jamii ya Uyghur Xinjiang ni aibu kubwa  kwa ulimwengu.

error: Content is protected !!