Qatar yajiondoa Jumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta ulimwenguni “OPEC”

Waziri wa  nishati  wa Qatar Saad al-Kaabi atangaza  kuwa Qatar imejiondoa katika Jumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta ulimwenguni “OPEC”  kuanzia  mwezi ujao.

Waziri wa nishati wa Qatar Saad al-Kaabi amesema kuwa uamuzi huo uliochukuliwa na wizara yake  haufungamani na sababu zozote za kisiasa bali umechukuliwa kwa sababu zi kufundi.

error: Content is protected !!