Wanawanake watano hatari zaidi duniani: Walikuwa majasusi, waigizaji filamu na wanaharakati wa kijamii

Wanawanake watano hatari zaidi duniani: Walikuwa majasusi, waigizaji filamu na wanaharakati wa kijamii

Jamii
Filamu ya mauji ya Eve Makala mpya ya BBC inayofahamika kama "Killing Eve'' ambayo inasimulia mateso wanayopitia wahusika kama vile Villanelle anayejulikana kama Jodie Comer, na afisa wa kijasusi Eve anayeigiza nafasi ya Sandra Oh, inaangazia mchanganyiko wa mambo yanayofanyika katika jamii ya sasa. Makala hiyo inaendelea kuvutia hisia mseto kutokana na ustadi wa wahusika wakuu katika masuala ya upelelezi. Baadhi ya watazamaji wanauliza ni vipi wanawake wanaweza kuwa hatari jinsi hiyo. Hayo ni yale yaliyoigizwa katika filamu lakini je, kuna wanawake hatari kama hao duniani? Mata Hari (1876-1917) Alikuwa mchezaji densi za kiajabu aliyekiuka maadili ya jamii yake kwa kuigiza filamu za Marekani zinazofahamika kama Hollywood. Alipata umaarufu mkubwa kutokana na kipaji chak...
Mwigizaji filamu maarufu wa Bollywood Amir Khan anakuja na filamu yake kabambe “Thugs of Hindostan”.

Mwigizaji filamu maarufu wa Bollywood Amir Khan anakuja na filamu yake kabambe “Thugs of Hindostan”.

Biashara & Uchumi, Kimataifa, Michezo
Mwigizaji filamu maarufu wa Bollywood Amir Khan anakuja na filamu yake kabambe "Thugs of Hindostan". Filamu hiyo inatarajia kuonyeshwa 30 Novemba. Baada ya filamu ya "Dangal",Amir Khan atakuja na muonekano mpya katika filamu hiyo "Thugs of Hindostan". Amir Khan ataigiza na Amitabh Bachchan ,Katrina Kaif na Fatima Sana Shaikh. Imeandikwa na kuongozwa na Vijay Krishna Acharya, na ni kati ya filamu zilizotumia bajeti ya juu kabisa.
Rais Kabila aahidi uchaguzi huru; ayataka madola ya kigeni kuacha kuingilia masuala ya ndani ya DRC

Rais Kabila aahidi uchaguzi huru; ayataka madola ya kigeni kuacha kuingilia masuala ya ndani ya DRC

Kimataifa
Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ameahidi mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba, serikali yake itahakikisha uchaguzi ujao wa nchi hiyo unafanyika vizuri na katika mazingira huru na ya haki. Rais Kabila amesema hayo katika hotuba yake mbele yya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kwamba, uchaguzi mkuu ujao wa Disemba 23 mwaka huu utafanyika vyema na katika mazingira huru na ya haki licha ya kuweko changamoto za hapa na pale. Katika hotuba yake hiyo, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo  ameyaonya madola ya kigeni na kuyataka yaache kuingilia masuala ya ndani ya nchi yake. Rais Kabila amekosoa vikali kile alichokitaja kuwa, hatua ya madola ya kigeni ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi yake. Katika sehemu nyingine ya hotuba yake hiyo, Rai
Kanisa Katoliki Ujerumani laomba radhi

Kanisa Katoliki Ujerumani laomba radhi

Kimataifa
Kanisa Katoliki nchini Ujerumani limewaomba radhi wahanga wa vitendo vya unyanyasaji wa kingono kutoka kwa mapadri, huku Kadinali mwandamizi nchini humo akitaka wahusika wa vitendo hivyo kufikishwa mbele ya sheria. Mkuu wa taasisi ya maaskofu nchini Ujerumani, ya German Bishops Conference, Kadinali Reinhard Marx amesema amefedheheshwa na vitendo vya unyanyasaji vilivyofanywa kwa miongo kadhaa ambavyo vimepunguza imani na namna ambavyo wengi wamevipuuza vitendo hivyo kwa muda mrefu. Amenukuliwa akisema "inatakiwa ielezwe wazi kabisa kwamba unyanyasaji wa kingono ni uhalifu. Wale wanaokutwa na hatia ya vitendo hivyo wanatakiwa kuadhibiwa. kwa muda mrefu kanisa limepuuzia vitendo hivyo, kukana, kutetea na halikutaka kukubali ukweli wa vitendo hivyo. Kama mwenyekiti wa taasisi ya maa...
Afrika yaelekea kuzidiwa na watu

Afrika yaelekea kuzidiwa na watu

Jamii, Kimataifa
Idadi ya watu barani Afrika inakuwa kwa kasi ambapo kufikia mwaka 2050 itakuwa imeongezeka maradufu ya ilivyo sasa, huku 40% ya watu masikini kabisa duniani wakihofiwa kuja kuishi kwenye mataifa mawili tu ya bara hilo. Kwa sasa barani Afrika wanaishi watu bilioni 1.3. Miaka 32 ijayo, idadi hii itaongezeka mara mbili zaidi, na kama ukuwaji wa kiuchumi hautakwenda sambamba na ukuwaji huu wa idadi ya watu, basi kitakachotokea ni ongezeko la umasikini. Khofu hiyo imeufanya Wakfu wa mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft, Bill Gates, kufanya utafiti wa namna ya kukabiliana na kitisho kijacho. Yaliyogunduliwa na utafiti huo uliopewa jina "Walindamlango 2018" ni kwamba ikifika mwaka 2050, asilimia 40 ya watu walio masikini sana duniani watakuwa wanaishi kwenye mataifa mawili tu: Nigeria na...
error: Content is protected !!