Mwanamuziki mwenye kipato kikubwa wa mwaka ulimwenguni

Forbes   yatoa  orodha ya wanamuziki mwenye kipato kikubwa   kushinda wengine kwa mwaka 2018 ulimwenguni
Forbes imetoa orodha ya wanamuziki wenye kipato kikubwa  kwa mwaka 2018 ulimwenguni huku katika nafasi ya kwanza  ikiwa imeshikiliwa na undi wa U2  kutoka Irelan ambalo limeundwa kwa 1976. Kundi hilo limeweza kujikusanyia kiwango cha dola  milioin 118.
Kundi la  Coldplay nafasi ya  pili na kipato cha dola  milioni 115 lifuatiwa nafasi ya 3 na Ed Sheeran akiwa na kpato cha dola milioin 110.
Forbes imetoa orodha hiyo ya mwaka ambayo takwimu zake zimekusanywa kuanzia Juni mosi mwaka 2017 hadi Juni mwaka 2018.

Orodha ya wanamuziki  kulingana na kipato :

1. U2 (dola Milioni 118)

2. Coldplay (dola Milioni 115.5 )

3. Ed Sheeran (dola Milioni 110 )

4. Bruno Mars (dola Milioni 100 )

5. Katy Perry (dola Milioni 83 )

6. Taylor Swift (dola Milioni 80 )

7. Jay-Z (dola Milioni 76.5 )

8. Guns N’ Roses (dola Milioni 71 )

9. Roger Waters (dola Milioni 68 )

10. Diddy (dola Milioni 64 )

11. Beyoncé (dola Milioni 60 )

12. Kendrick Lamar (dola Milioni 58 )

13. The Weeknd (dola Milioni 57 )

14. The Eagles (dola Milioni 56 )

15. Depeche Mode (dola Milioni 53 )

error: Content is protected !!