Milango ya msikiti wa Athens yafunguliwa kwa mara ya kwanza

Msikiti wa Athens ambao ni msikiti wa  kwanza kujengwa katika mji mkuu wa  nchi ya Ugiriki wafunguliwa rasmi, Ufunguzi huo umefanywa na waziri wa elimu na masuala ya dini wa Ugiriki, Kostas Gavroglu.

Gavroglu, amesema kwamba ingawa ujenzi wa msikiti huo umekamilika kutokana na masuala ya kirasimu bado msikiti huo haujafunguliwa kwa ajili ya ibada.Waziri huyo alisema inategemewa swala ya kwanza itaanza kuswaliwa katika msikiti huo ifikapo mwezi Septemba

error: Content is protected !!