Mchezaji wa zamani wa Sevilla aaga dunia katika ajali ya barabarani

Mchezaji wa zamani wa timu ya kabumbu ya Sevilla. Jose Antonio Reyes, ameaga dunia katika ajali ya gari iliotokra  Kusini mwa Uhispania.

Jose Antonio Reyes alimefariki akiwa na umri wa miaka 35.

Ajali hiyo imetokea akiwa katika kitongoji cha  Utrera Sevilla kusini mwa Uhispania.

Mchezaji huyo nyota akichezea timu ya Sevilla, Atletico ya Madrid,  Cordoba, Arsenal, Benfica na Xinjiang ya Uchina.

error: Content is protected !!