Mchekeshaji raia wa Marekani Tim conway aiaga dunia

Mchekeshaji maarufu raia wa Marekani, Tim Conway afariki dunia.

Meneja wa Conway, Howard Bragman, alisema mchekeshaji huyo aliyekuwa na umri wa miaka 85 alikuwa akiugua kwa muda mrefu na siku ya jana majira ya asubuhi alifariki akiwa nyumbani kwake jjijini Los Angeles.

Conway ambaye alianza kufahamika kupitia “The Carol Burnett Show” iliyorushwa na kituo cha runinga cha CBS kati ya mwaka 1967-1978 ni mshindi wa tuzo 4 za Emmy.


error: Content is protected !!