Kampeni ya “Bonjour, Je suis Musulman” kukemea chuki dhidi ya uislamu Ubelgiji yaanzishwa

Kampeni ya  « Bonjour , Je suis Musulman » inayo kemea chuki dhidi  ya uislamu  yaanzishwa.

Kampeni inayokemea  chuki  dhidi ya waislamu « Xenophobia » yaanzishwa nchini Ubelgiji.

Vijana zaidi ya  100 nchini Ubelgiji walimiminika katika  barabara tofauti  nchini humo kupinga  chuki dhidi ya  waislamu.

Vijana waliandamana  nchini Ubeligiji kuonesha  picha halisi ya uislamu na kukemea kupanda kwa chuki dhidi ya uislamu.

Muungano wa waislamu mjini Brussels, umeungana na jiji la Anvers, Charleroi, Genk, Liège na Namur kukemea chuki dhidi ya uislamu  kupitia kampeni ya  ilioanzishwa « Bonjour, Je suis musulman » ikiwa na maana « habari, mimi ni muislamu ».

error: Content is protected !!