Iran yajaribu kwa mafaanikio mfumo wake wa kjilinda na makombora

Iran yajaribu kwa mafaanikio mfumo wake wa kjilinda na makombora.

Jeshi la Iran lajaribu kwa mafaanikio mfumo wake wa kujilinda na makombora wa Khordad-3 na Talash.

Jeshi la Iran limejaribu mfumo wake wa kujihami na makombora ambao utakuwa ukikabiliana na mashambulizi ya anga ya aina yeyote ile.

Iran imejiundia yenyewe mfumo huo ikiwa ni hatua kubwa kwa Iran katika sekta yake ya teknolojia.

Makombora ya aina tofauti yalitumiwa katika majaribio hayo ambayo Iran imesema kuwa ni ushindi kwa jeshi lake.

Baada ya zoezi hilo la majaribio ya mfumo huo wa kujihami na makombora, jeshi la anga lilifanya mazoezi.

error: Content is protected !!