Guaridiola achaguliwa kuwa meneja bora wa mwaka wa ligi kuu ya Uingereza “EPL” msimu 2018-19

Meneja wa Manchester City muhispanyola, Pep Guardiola, atwaa tuzo ya meneja bora wa mwaka wa ligi kuu ya Uingereza “EPL”.

Guardiola anakiongoza kikosi cha City, ambayo imefanikiwa kumaliza ligi ikiwa na alama 98 na kuipiga kikumbao Liverpool kwa kutwaa kombe la ligi hiyomsimu wa 2018-19.

Tuzo hiyo ya meneja bora imetolewa na Umoja wa mameneja wa ligi.

error: Content is protected !!