Newspaper

Pemba Today

PEMBA MEDIA   NETWORK (PMN)

Jina linavyosomeka hapo juu linamaanisha kuwa ni ushirikiano baina ya gurupu la waandishi wa habari na jopo la wanasheria Pemba ,  kwa pamoja tumeamua kuja na mtandao huu uliyohuru na tunaamini itakua ndio kimbilio la wengi kupata habari mbalimbali ndani na nje ya nchi , hii ni kwasababu yakuwa tumejipanga kikamilifu na tupo tayari kukuhabarisha kama kaulimbiu yetu inavyosema “kukuhabarisha ni fahari yetu”

Mtandao huu uliundwa rasmi siku ya october 13, 2017 chini ya uongozi wa viongozi mahiri tuliyowachagua kupitia mtandao huu.

Lengo kuu ni kukuza sekta ya habari kupitia mtandao.

Kutokana na umahiri na umakini mkubwa wa waendeshaji wa website hii tunakuomba mpenzi mtembeleaji wetu usiache kutuunga mkono kusoma ,kusikiliza na kutazama habari zetu kwani zipo katika hali ya usalama katika maadili ya kiuandishi.

http://www.pembatoday.com/
ZanziNews
http://www.zanzinews.com/
0777 424152
Zanzibar 24

Mubashara Media Network.
P.O. Box 1197
Mwanakwerekwe Zssf Building.
Email: zenjbar24@gmail.com.
Zanzibar.

http://zanzibar24.co.tz/
Pemba connect (now Pemba Live)

Pemba connect ni gazeti mtandao ambalo lilianzishwa mnamo  mwezi wa 3 , 2010.
Madhumuni Makuu:
1. Kuipasha dunia kuhusiana na matukio yanayotekea Zanzibar
2. Kuitangaza Zanzibar , kimataifa .
3. Kuleta mabadiliko katika ulimwengu wa habari na Mawasiliano

Pemba Connect inaweza kupatikana kupitia www.pembaconnect.blogspot.com

Na Pemba Live ni mtandao ambao ulisajiliwa tarehe 16 January, 2015 kama jina la biashara chini ya sheria no: 168 ya Zanzibar na kupatiwa usajili namba 25/2015

Madhumuni Makuu:

Kutangaza/Kuorodhesha Biashara zote zilizoko kisiwani Pemba, Tanzania kwa ujumla (yaani Business Directory)
Kutangaza nafasi za ajira popote duniani zinapotokea.
Kupashana matukio muhimu yanayotokea kisiwani Pemba

Na Pemba live inaweza kupatikana kupitia anuani ya www.pembalive.info

Baada ya kukaa vikao tofauti vya Bodi ya Ushauri ya kampuni kwa lengo la kuboresha huduma na kutafuta jina jipya la gazeti mtandao la Pemba Connect, Uongozi wa kampuni tumeamua kuunganisha mitandao yetu hii miwili ya Pemba Connect na Pemba Live na kuunda kitu kimoja.

Hivyo leo tarehe 09/12/2017, Tunatangaza rasmi kwamba “Pemba Connect itajulikana kama Pemba Live, na huduma zote zilizokuwa zikitolewa na mitandao yetu hii zitapatikana kwa kupitia mtandao mmoja wa www.pembalive.info”

Official Websites
Deutsche Welle Kiswahili
Deutsche Welle
Anstalt des öffentlichen Rechts
Kurt-Schumacher-Str. 3
53113 Bonn
Postanschrift:
Deutsche Welle
53110 Bonn
Germany
,

Deutsche Welle, sauti ya kimataifa ya Ujerumani, inatangaza habari na maelezo ya habari kupitia mtandao, televisheni na radio na kutoa sura ya Ulaya kwa
wasomaji, watazamaji na wasikilizaji duniani kote.

Jukumu: “Kuitangaza Ujerumani ili ifahamike kama taifa huru, mizizi yake ikiwa katika utamaduni wa Ulaya; pia kama dola ya kiliberali, ya kidemokrasia na ya kikatiba, iliyojengeka katika misingi ya utawala wa sheria.“

Huduma za Deutsche Welle zinawafikia zaidi ya wasikilizaji na watazamaji milioni 86 kila wiki.

http://dw.com/kiswahili
+49 173 2911790
+49.228.429-3000
BBC SWAHILI
Afrika ya Mashariki na Kati
P.O. Box 58621, Nairobi, Kenya P.O. Box 79545

Dar es Salaam, Tanzania P.O. Box 7620,

Kampala, Uganda B.P. 10996,

Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo [DRC]

Idhaa yetu inaajiri waandishi wa habari na watangazaji kutoka nchi zote zinazozungumza Kiswahili na vilevile katika sehemu nyingine za Afrika.
Mhariri: Caroline Karobia.

Waandishi waandamizi:

Ruth Nesoba

Odhiambo Joseph

Peter Mwai
Nairobi, Kenya:
Waandishi wa mtandaoni: Seif Abdalla na Idris Situma

Watangazaji : Ng’endo Angela, Gladys Njoroge, Shaaban Ndege, Jason Nyakundi, Robert Kiptoo, Dinah Gahamanyi, Muliro Telewa, Dayo Yusuf, John Nene na Odeo Sirari.

Waandishi wa Habari: Emmanuel Igunza, Wanyama Chebusiri, Ferdinand Omondi, Anne Soy, Jamhuri Mwavyombo, Abdinoor Aden na Bashkas Jugsoday.

Global News Beat:- Anthony Irungu [Nairobi] na Paula Odek [Nairobi]
Dar es Salaam, Tanzania:
Watangazaji: John Solombi, Regina Mziwanda, Lizzy Masinga, Halima Nyanza na Leonard Mubali

Waandishi wa Habari mjini Dar es Salaam:

Aboubakar Famau, Tulanana Bohela, Kulthum Maabad na Esther Namuhisa

Uganda:

Siraj Kalyango

Burundi:

Ismail Misigaro

Rwanda:

Yves Bucyana

Afrika ya Kusini:

Omar Mutasa

 

https://www.bbc.com/swahili
+44 7786 202005
+ 44 207 240 4637
Shirika la Redio la Uturuki na Televisheni (TRT)

TRT Historia

Shirika la Redio la Uturuki na Televisheni (TRT) lilianzishwa tarehe 1 Mei mwaka 1964 kwa lengo la kutangaza  matangazo ya redio na televisheni kwa niaba ya serikali, na utu wa uhuru wa kisheria na sheria maalum. Kwa marekebisho ya kikatiba mwaka 1972, taasisi hiyo ilifafanuliwa kama biashara “inayotokana na serikali”.

Mwaka wa 1984, Sheria ya Redio na Televisheni ya Uturuki ilirekebishwa upya kulingana na masharti ya Katiba ya 1982.  Tangu 1986 kuwepo kwa vyombo vyingi kupitia satellite Uturuki,  umeipa TRT changa moto za kushindana na wengine hadi 1990.

Pamoja na marekebisho wa msuada  nambari 133 wa Katiba ya mwaka 1993, uhuru wa TRT ulirejeshwa, wakati huo huo uhuru redio na televisheni binafsi ziliendelea kurusha matangazo yao.  Leo TRT hutumikia kama mtangazaji wa huduma za umma ambazo zinatangaza kupitia redio na televisheni.

Kabla ya kuundwa TRT, matangazo yalikuwa yakirushwa na shirika la Türk Telsiz Telefon A.Ş. Baada ya kiytuo cha redio cha İstanbul kilichoanzishwa mwaka 26 Mei 1927, redio ya Ankara ilianza na yenyewwe matangazo mwaka 1936. Vituo vyote hivyo viwili viliwekwa mikononi mwa PTT tarehe 8 Septemba 1936.  Redio ya Ankara ilipewa umuhimu na kuzinduliwa rasmi tarehe 28 Oktoba 1938. Kituo cha Istanbul kilichokuwa kimesitisha kwa mda matangazo yake kilirejea tena mnamo Novemba 1949.

Wakati wa vita vikuu vya pili vya dunia, vituo vingi viliundwa.  Redio ya İzmir ilianza kazi mwaka 1950 na ilikuwa ikirusha matangazo kwenye manispaa ya İzmir.

Mnamo mwaka 1960, vituo 8 vya redio kwenye manispaa vilizinduliwa. Kulingana na katiba ya 1961, ambayo inasema kuwa vituo vya habari lazima viwe binafsi lakini vitanagze matangazo yanohimiza uzalishaji kiuchumi, mswada huu ulipelekea vitu vingi kuanzishwa. Trt iliendelea na yenyewe na matangazo yake kulingana na sheria namba 359 ya mwaka 1964, japo kuwa kulikuwa uzinduzi wa vitu binafsi.

Mwaka 1974, TRT 1, TRT 2, na TRT 3 zilizinduliwa na kuanza kushirikiana kwenye matanagzo yao, wakirusha habari kutoka kituo kikuu cha TRT.

Matangazo ya televisheni yalianza 31 Januari mwaka 1968 na hotuba ya uzinduzi ya  Mahmut Tali Öngören kwenye studio na maktaba  za Mithatpaşa  mjini Ankara, na ikawa hatua ya kwanza ya matangazo ya televisheni nchini Uturuki.  Matangazo yalikuwa yakirushwa masaa 3 kwa siku 3 kwa wiki , ikaongezwa mpaka siku 4 kwa wiki baada ya mwaka mmoja. Mwaka 1970, televisheni ya İzmir ilianzishwa, na mwaka 1971 televisheni ya İstanbul ikaanzishwa.

Mwaka 1969 wanasayansi walipoanza kujielekeza kwenye mwezi, mtangazi Zeki Müren alipiptisha tukio hilo kupitia TV. Mwaka 1973 mazishi ya Ismet Inonu, rais wa pili wa Uturuki walitangazwa moja kwa moja. Operesheni za kulinda amani visiwani Cyprus zilitangazwa kuipitia TRT. Uturuki ilishirika mashindano ya Euro vision ya muziki kwa mara ya kwanza mwaka 1975 kupitia TRT.  Kwa mara ya kwanza filamu ya zilirekodiwa kupitia TRT mwaka 1979.

Mtangazo ya TV yalikuwa yakirushwa kila siku kuanzia mwaka 1974 na watu takriban milioni 19 walikuwa wakifuata matangazo hao.  Matangazo ya Tv ya rangi yalianza kurushwa tarehe 31 Deccemba 1984.

Mwaka 1986, kituo cha pili cha Tv kilianzishwa kwa jina TRT-2. Vipindi vya TRT 1 na TRT 2 viliweza kufikia kila eneo la Uturuki kupitia satalaiti ambayo ilikodishwa kutoka elsntat. TRT 3 na GAP  TV zilianzishwa mwwaka 1989. Mwaka 1990, matangazo ya TRT INT kwa wafanyakazi wa kituruki wanaoishi Ulaya yalianzisha na TRT4 . Kituo cha TRT AVRASYA kilikuwa kikirusha vipinda vya watu wa Caucase na Asia ya kati mwaka 1993.

Mwaka 1998, vipindi vya kwanza kutoka nje kama Ujerumani vilianzishwa. Vipindi kama Turkménistan-Achgabat mwaka  1999 vilirushwa, Misri, Ubelgiji mwaka 2000. Kituo cha TRT cha 6 nje ya Utruuki kilianzishwa Marekani, hata Uzbekistan mwaka 2004.

TRT_SAYTEK (Digital Broadcasting Technology Center) iliundwa mwaka 1990 pamoja na tovuti yake ya www.trt.net.tr.

Mwaka 2003 ni mwaka usiosahaulika kwa shirika la TRT na Utruki kwa ujumla , Trt iliweza kujinyakulia tuzo la 48 la Eurovision kupitia wimbo wa Sertap ERENER.

Trt ilianza kutumia na kurusha matangazo kwa lugha tofauti kwenye vipindi kuhusu watoto tarehe 01.01.2009.

Www.trtvotworld.com amabyo ilikuwa haina uwezo wa kiufundi na fedha , tarehe 20.11.2008 iliweza kujipatia nafasi ya 5 miongoni mw vituo 31 vinavyorusha habari za hali ya hewa na mazingira. Leo kituo hicho ni muhimu katika kanda sababu hutangaza matangazo yasioegamia upande wowote ule.

Kuanzia Balkan mpa Asia, nchi 27 , na watu karibu milioni 27 watanzisha kituo kimoja kitakachoksanya habari kutoka Uturuki, Azerbaijan, Kazakistan,Kirgizistan,Turkmenistan, na Mashariki ya kati.

Trt ilianzisha kituo cha habari za kimataifa na utamaduni tarehe 08.05.2009 cha Anatolia. kİtuo hicho hurusha mwezi wa Ramadhani matangazo ya dini kuanzia mawak 2012.  Tarehe  16 Novemba 2009, Trt ilianza kurusha kipindi cha muziki wa Uturuki na ule wa kimataifa.

Mko tayari kutoa ushuhuda ? TRT ilianza kurusha makala maalumu  tarehe 17 Oktoba mwaka 2009 kwa lugha ya kifaransa, kiingereza,kirusi  na kituruki.

Mwaka 2009, redio 6, TRT Nağme, redio ya manispaa ya Ankara, TRT ya kituruki  na redio ya TRT Europe kupitia masafa marefu vilianza kurusha matangazo.

Trt ilisaini mkataba wa kwanza na kituo cha Ulaya cha EuroNews. Kituo hicho cha EuroNews kilianza kurusha matangazo kwa lugha ya kituruki kufuatia mkataba huo tarehe 9 Januari mwaka 2010.

Kituo cha TRT HD, hutangaza matangazo ya sport na michezo, ikiwemo filamu na kadhalika.

TRT Sport, ilianza kurusha matangazo August mwaka 2010 na hutangaza kila habari kuhusu michezo yote ikiwemo ile ya kitaifa na kimataifa.

Trt ilianzisha shule ya TRT Januari 2010 ambalo lina teknolojia ya kisasa na vipindi vya mafunzo ya utamaduni na unadishi wa habari na matangfazo.

Leo TRT ina vituo 14 vya TV vya kitaifa na kikanda , ikiwemo vituo 3 vya kimataifa na vituo 3 vya redio.  TRT hutangaza katika lugha 41 kupitia www.trtvotworld.com ikiwemo trt ya watoto, ambayo hufuata uturuki na karibu dunia nzima

 

http://www.trt.net.tr/swahili/
Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika – VOA

Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika ilikuwa Idhaa ya kwanza ya lugha ya Kiafrika kuanzisha matangazo ya moja kwa moja kupitia mitambo ya Sauti ya Amerika mjini Washington D.C. Mwezi Mei 1964 matangazo ya dakika thelathini, ambayo yalikuwa yamerekodiwa kwenye ukanda kuanzia mwaka 1962, yaligeuzwa na kufanywa kipindi kinachotangazwa moja kwa moja, kila siku kutoka Washington, kikirudiwa na kuongezewa habari mpya, mara moja kwa siku.

Mwezi Mei 1966, matangazo hayo yaliongezewa dakika nyingine thelathini na kuwa matangazo ya saa moja kukiwemo muziki uliorekodiwa na vipindi mbalimbali kutokea mjini Monrovia, Liberia. Na mwaka uliofuata, 1967, Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika ilizindua matangazo ya moja kwa moja kutoka studio zetu hapa Washington D.C. Leo, Idhaa ya Kiswahili imo hewani kwa muda wa saa 9 na nusu kwa wiki.

Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili huwafikia mamilioni ya wasikilizaji katika Afrika Mashariki na eneo la Maziwa Makuu. Kiswahili ni lugha rasmi katika nchi za Afrika mashariki na ni lugha inayopanuka nchini Congo, Rwanda na Burundi. Kiswahili vile vile ni lugha inayozungumzwa na kueleweka katika eneo la kusini mwa Somalia, Visiwa vya Comoro na sehemu za kaskazini mwa Msumbiji na Malawi.

Kadhalika tuna idadi kubwa ya wasikilizaji katika nchi za Mashariki ya kati na kusini mwa Afrika.

Idhaa ya Kiswahili imepanua usikilizaji katika masafa ya FM kwa ushirikiano na redio nchini Kenya, Tanzania, Uganda na Rwanda na Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo.

https://www.voaswahili.com/
The Indian Express

The Indian Express began its journey in 1932. Since then, the Group has grown from strength to strength. From a single edition to 35 national editions, 14 publication centers and 7 language dailies that reach over 19 million people across the country.

https://indianexpress.com
+91 78219 40358
error: Content is protected !!