General

Moyo Media Co. Ltd
Misufini Street, 74205 Kichungwani P. O. Box 271 Chake –Chake, South – Pemba, Zanzibar –Tanzania

Moyo Media Co. Ltd is the media and ICT Company based in Tanzania. It was founded back in 2008. We are dealing with Web Solutions, ICT Solutions, Graphic Designing and Video Productions. OUR MISSION is To inject energy and passion into what we do and make life interesting and exciting for everyone while OUR VISION is To become the leading services provider in Zanzibar, Tanzania and across the world.

 

Creativity and Innovation:
We love being inspired and being inspirational for others. We enjoy pushing boundaries, experimenting and taking risks as a way of learning and discovering new experiences.

High Nobility:
We value quality in what we do and how we do it. We believe our work gives people memorable experiences and a sense of pride in their accomplishments.

Entertaining:
We want to have fun and to be fun for other people. We believe in injecting energy and passion into what we do and making life interesting and exciting for everyone.

Human First:
We believe in being grounded, approachable and human-scale. We recognize and appreciate peoples’ diverse skills and talents and believe in investing time and energy in supporting each other and sharing our knowledge and experience.

“We will work to make sure your business succeeds”

 

http://www.moyomedia.co.tz/
+255 24 245 2074
+255736608773
Pemba connect (now Pemba Live)

Pemba connect ni gazeti mtandao ambalo lilianzishwa mnamo  mwezi wa 3 , 2010.
Madhumuni Makuu:
1. Kuipasha dunia kuhusiana na matukio yanayotekea Zanzibar
2. Kuitangaza Zanzibar , kimataifa .
3. Kuleta mabadiliko katika ulimwengu wa habari na Mawasiliano

Pemba Connect inaweza kupatikana kupitia www.pembaconnect.blogspot.com

Na Pemba Live ni mtandao ambao ulisajiliwa tarehe 16 January, 2015 kama jina la biashara chini ya sheria no: 168 ya Zanzibar na kupatiwa usajili namba 25/2015

Madhumuni Makuu:

Kutangaza/Kuorodhesha Biashara zote zilizoko kisiwani Pemba, Tanzania kwa ujumla (yaani Business Directory)
Kutangaza nafasi za ajira popote duniani zinapotokea.
Kupashana matukio muhimu yanayotokea kisiwani Pemba

Na Pemba live inaweza kupatikana kupitia anuani ya www.pembalive.info

Baada ya kukaa vikao tofauti vya Bodi ya Ushauri ya kampuni kwa lengo la kuboresha huduma na kutafuta jina jipya la gazeti mtandao la Pemba Connect, Uongozi wa kampuni tumeamua kuunganisha mitandao yetu hii miwili ya Pemba Connect na Pemba Live na kuunda kitu kimoja.

Hivyo leo tarehe 09/12/2017, Tunatangaza rasmi kwamba “Pemba Connect itajulikana kama Pemba Live, na huduma zote zilizokuwa zikitolewa na mitandao yetu hii zitapatikana kwa kupitia mtandao mmoja wa www.pembalive.info”

Official Websites
error: Content is protected !!