Congo (DRC)

Moyo Media Co. Ltd
Misufini Street, 74205 Kichungwani P. O. Box 271 Chake –Chake, South – Pemba, Zanzibar –Tanzania

Moyo Media Co. Ltd is the media and ICT Company based in Tanzania. It was founded back in 2008. We are dealing with Web Solutions, ICT Solutions, Graphic Designing and Video Productions. OUR MISSION is To inject energy and passion into what we do and make life interesting and exciting for everyone while OUR VISION is To become the leading services provider in Zanzibar, Tanzania and across the world.

 

Creativity and Innovation:
We love being inspired and being inspirational for others. We enjoy pushing boundaries, experimenting and taking risks as a way of learning and discovering new experiences.

High Nobility:
We value quality in what we do and how we do it. We believe our work gives people memorable experiences and a sense of pride in their accomplishments.

Entertaining:
We want to have fun and to be fun for other people. We believe in injecting energy and passion into what we do and making life interesting and exciting for everyone.

Human First:
We believe in being grounded, approachable and human-scale. We recognize and appreciate peoples’ diverse skills and talents and believe in investing time and energy in supporting each other and sharing our knowledge and experience.

“We will work to make sure your business succeeds”

 

http://www.moyomedia.co.tz/
+255 24 245 2074
+255736608773
BBC SWAHILI
Afrika ya Mashariki na Kati
P.O. Box 58621, Nairobi, Kenya P.O. Box 79545

Dar es Salaam, Tanzania P.O. Box 7620,

Kampala, Uganda B.P. 10996,

Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo [DRC]

Idhaa yetu inaajiri waandishi wa habari na watangazaji kutoka nchi zote zinazozungumza Kiswahili na vilevile katika sehemu nyingine za Afrika.
Mhariri: Caroline Karobia.

Waandishi waandamizi:

Ruth Nesoba

Odhiambo Joseph

Peter Mwai
Nairobi, Kenya:
Waandishi wa mtandaoni: Seif Abdalla na Idris Situma

Watangazaji : Ng’endo Angela, Gladys Njoroge, Shaaban Ndege, Jason Nyakundi, Robert Kiptoo, Dinah Gahamanyi, Muliro Telewa, Dayo Yusuf, John Nene na Odeo Sirari.

Waandishi wa Habari: Emmanuel Igunza, Wanyama Chebusiri, Ferdinand Omondi, Anne Soy, Jamhuri Mwavyombo, Abdinoor Aden na Bashkas Jugsoday.

Global News Beat:- Anthony Irungu [Nairobi] na Paula Odek [Nairobi]
Dar es Salaam, Tanzania:
Watangazaji: John Solombi, Regina Mziwanda, Lizzy Masinga, Halima Nyanza na Leonard Mubali

Waandishi wa Habari mjini Dar es Salaam:

Aboubakar Famau, Tulanana Bohela, Kulthum Maabad na Esther Namuhisa

Uganda:

Siraj Kalyango

Burundi:

Ismail Misigaro

Rwanda:

Yves Bucyana

Afrika ya Kusini:

Omar Mutasa

 

https://www.bbc.com/swahili
+44 7786 202005
+ 44 207 240 4637
Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika – VOA

Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika ilikuwa Idhaa ya kwanza ya lugha ya Kiafrika kuanzisha matangazo ya moja kwa moja kupitia mitambo ya Sauti ya Amerika mjini Washington D.C. Mwezi Mei 1964 matangazo ya dakika thelathini, ambayo yalikuwa yamerekodiwa kwenye ukanda kuanzia mwaka 1962, yaligeuzwa na kufanywa kipindi kinachotangazwa moja kwa moja, kila siku kutoka Washington, kikirudiwa na kuongezewa habari mpya, mara moja kwa siku.

Mwezi Mei 1966, matangazo hayo yaliongezewa dakika nyingine thelathini na kuwa matangazo ya saa moja kukiwemo muziki uliorekodiwa na vipindi mbalimbali kutokea mjini Monrovia, Liberia. Na mwaka uliofuata, 1967, Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika ilizindua matangazo ya moja kwa moja kutoka studio zetu hapa Washington D.C. Leo, Idhaa ya Kiswahili imo hewani kwa muda wa saa 9 na nusu kwa wiki.

Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili huwafikia mamilioni ya wasikilizaji katika Afrika Mashariki na eneo la Maziwa Makuu. Kiswahili ni lugha rasmi katika nchi za Afrika mashariki na ni lugha inayopanuka nchini Congo, Rwanda na Burundi. Kiswahili vile vile ni lugha inayozungumzwa na kueleweka katika eneo la kusini mwa Somalia, Visiwa vya Comoro na sehemu za kaskazini mwa Msumbiji na Malawi.

Kadhalika tuna idadi kubwa ya wasikilizaji katika nchi za Mashariki ya kati na kusini mwa Afrika.

Idhaa ya Kiswahili imepanua usikilizaji katika masafa ya FM kwa ushirikiano na redio nchini Kenya, Tanzania, Uganda na Rwanda na Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo.

https://www.voaswahili.com/
Jamii Forums

A) Jamii Forums ilianzishwa lini? Na kwanini ikaitwa Jamii Forums na si jina lingine?

JamiiForums (jina) limeanza Mei 2008 lakini JamboForums (jina) lilianza mwaka 2006 Machi.

Kimsingi, historia ya JF (aidha iitwe JamiiForums au JamboForums) iko hivi:

JF imeanza mwaka 2006 mwezi Machi, ni baada ya kuwa tuna majukwaa mbalimbali kama Uchaguzi Tanzania, Tanzania Economic Forum, Habari Tanzania, Jambo Network, Jambo Radio na Jambo Videos.

Mkusanyiko wa majukwaa haya ulipelekea kuwa na kusanyiko moja ambalo kwa wakati huo (2006) tuliamua kuliita JamboForums.com, jina ambalo tulilitumia hadi mwezi Mei 2008 lakini ikatupelekea kubadilisha jina kwenda JamiiForums kutokana na mgongano wa matumizi ya jina la JamboForums ambapo tulikuwa hatujachukua copyrights (haki miliki) za jina ingawa baadaye tulifanikiwa kulimiliki kihalali. Hatukutaka kusimamisha moja kwa moja matumizi ya JF hivyo tukafikiria jina mbadala la JamboForums na kubaini kuwa tayari hili kusanyiko la wadau ni kusanyiko la Jamii, na bado Jamii ilikuwa ikiendelea kutunza JF kama wengi wanavyopenda kufupisha.

 

CHANZO: JAMII FORUM

 

https://www.jamiiforums.com/
Ubongo
P.O. Box 66647,
1st floor FSM House,
614 Kimweri Ave.
Msasani, Dar es Salaam
Tanzania

Ubongo is Africa’s leading producer of kids’ edutainment. As a non-profit social enterprise we create fun, localised and multi-platform educational content that helps kids learn, and leverage their learning to change their lives. We reach millions of families across Africa through accessible technologies like TV, radio and mobile phones.
Our Mission
To use top quality, localized edutainment to help Africa’s 440 million kids learn, and leverage their learning to change their lives.

Our Vision
To equip Africa’s next generation with the educational foundation, critical skills and positive mindsets to change their own lives and communities for the better.

https://www.ubongo.org
+255 685 012 897
,
error: Content is protected !!