Updates

NASAHA ZA IJUMAA: YAFAHAMU MAKUNDI 12 SIKU YA QIYAMA

NASAHA ZA IJUMAA: YAFAHAMU MAKUNDI 12 SIKU YA QIYAMA

Jamii, Updates
Mtume wetu Swalla Allaahu Wasallam amesema utafufuliwa umati wangu siku ya Qiyama katika makundi 12 1.WANAO WAUDHI JIRANI ZAO : Watafufuliwa katika makaburi yao hawana mikono wala miguu 2.WANAO PUUZA SWALA: Watafufuliwa Siku Ya Kiyama Wakiwa Na Sura Za Nguruwe 3.WANAO ZUIA ZAKA: Watafufuliwa Matumbo Yao Kama Milima Yamejazwa Nyoka Na Nnge 4.WAFANYA BIASHARA WAONGO: Watafufuliwa Katika Makaburi Yao Midomo Yao Ikichuruzika Damu 5.WANAO FICHA MAASI KWA KUOGOPA WATU WALA HAWAMUOGOPI MUNGU: Watafufuliwa Wakiwa Wananuka Sana Kupita Kiasi (Watakuwa Ni Uvundo Wa Hali Ya Juu) 6.WANAO SHUHUDIA UONGO: Watafufuliwa Hali Ya Kuwa Wamekatwa Vichwa Vyao 7. WANAO ZUIA USHAHIDI: Watafufuliwa Siku Ya Kiyama Midomo Yao Inatoka Damu Na Usaha 8. WAZINIFU: Watafufuliwa Katika Makaburi...
Nchi nne za Jumuiya ya Afrika Mashariki zinakabiliwa na tishio la Ebola

Nchi nne za Jumuiya ya Afrika Mashariki zinakabiliwa na tishio la Ebola

Afya, Updates
Nchi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zinakabiliwa na tishio la maradhi ya Ebola ambayo yameendelea kuchukua roho za watu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaja nchi hizo kuwa ni Uganda, Sudan Kusini, Rwanda na Burundi na kuzitaka zichukue tahadhari ya haraka kutokana na kusambaa kwa ugonjwa wa Ebola, kwani sababu hali inaweza kubadilika wakati wowote kuanzia sasa. Taarifa rasmi ya WHO imesema kuwa, hatari ni kubwa kwa Uganda, Rwanda, Burundi na Sudan Kusini na kwamba, tayari imezitaka nchi hizo ambazo ni wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuchukua hatua za haraka ili kuzuia kuingia ugonjwa huo katika nchi hizo. Sehemu nyingine ya taarifa ya Shirika la Afya Duniani (WHO) imeeleza kwamba, mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika
Mvua kubwa kunyesha Novemba 2018, Mikoa 11 yapewa tahadhari

Mvua kubwa kunyesha Novemba 2018, Mikoa 11 yapewa tahadhari

Jamii, Mikoani, Nyumbani, Updates
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya vipindi  vya mvua kubwa vinavyotarajiwa katika msimu wa Novemba 2018 hadi Aprili 2019 katika kanda za magharibi, kati na nyanda za juu kusini. Maeneo yatakayoathirika na mvua hizo za juu ya wastani hadi wastani ni Dodoma, Singida, Tabora, Mbeya, Njombe, Iringa, Ruvuma, Kusini mwa Morogoro, Lindi na Mtwara. Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Oktoba 18, 2018 Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk Agness Kijazi amesema  utabiri huo ni kwa mikoa inayopata msimu mmoja wa mvua kwa mwaka. “Katika kipindi cha mvua za msimu hali ya unyevunyevu wa udongo kwa ustawi wa mazao na upatikanaji wa chakula cha samaki vinatarajiwa kuimarika katika maeneo mengi,” amesema. “Hata hivyo, mazao yasiyohitaji maji mengi kama vile mahindi,
Kuku wa maabara suluhisho kwa uhaba wa chakula duniani !!!

Kuku wa maabara suluhisho kwa uhaba wa chakula duniani !!!

Updates
Hofu ya ongezeko la ulaji nyama duniani, imewafanya wanasayansi kuvumbua mfumo wa kutengeneza nyama ya kuku katika maabara kutokana na seli ya unyoya wa kuku. Kampuni moja ya chakula mjini San Francisco imevumbua mfumo wa kukuza nyama ya kuku katika maabara kutokana na seli ya unyoya wa kuku. Ladha ya nyama hiyo-ni sawa na ile ya kuku wa kawaida,tofauti ni kuwa imekuzwa kitaalamu katika maabara kutokana na seli ya mnyama. Wanasayansi wanasema kuwa inachukua karibu siku mbili kutengeneza vipande vya nyama ya kuku katika maabara kwa kutumia protini ili kuiwezesha seli kupata umbo la nyama kadiri inavyokuwa. Afisa mkuu mtendaji wa shirika linalojihushisha na mpango huo, Josh Tetrick amesema majaribio ya kuuza nyama hiyo katika migahawa migahawa mikubwa duniani itaanza kufikia ...
Habari za hivi Punde: Mwanzilishi mwenza wa Microsoft Paul G. Allen afariki dunia

Habari za hivi Punde: Mwanzilishi mwenza wa Microsoft Paul G. Allen afariki dunia

Biashara & Uchumi, Jamii, Kimataifa, Updates
Mwanzilishi mwenza wa Microsoft Paul Allen amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65,hayo ni kwa majibu wa maelezo yaliyotolewa na moja ya makampuni yake. Vulcan Inc. imesema Allen akiwa Seattle jijini Washington kutokana na ugonjwa wa “non Hodgkin’s lymphoma” ambayo ni inayoathiri mfumo wa kinga ya mwili. “Kwa masikitiko makubwa tunasikitika kutangaza kifo cha mwanzllishi wetu Paul G. Allen, mwanzilishi mwenza wa Microsoft, mwanateknolojia anayefahamika, mfadhili mwenye mapenzi juu ya binadamu, mjenga jamii, Mtunzaji, Mwanamuziki, Mpenzi na muungaji mkono wa sanaa” Yalisema maelezo ya Vulcan kampuni ambayo amewekeza. Ukianchilia mbali kuanzisha Microsoft pamoja na Bill Gates, Allen alianzisha kampuni mbalimbali za teknolojia kama Allen Institute na Allen Institute for Artific
error: Content is protected !!