Updates

“Learn & Donate”

“Learn & Donate”

Updates
BADILI LUGHA KWA KISWAHILI INTRODUCTION “Learn & Donate” is a fundraising method that we are expecting to raise funds so as to support the construction of new mosque at Hanga Ngadinda Village, Madaba district, Ruvuma – Tanzania. Moyo Media Co. Ltd is the Media & ICT Company based in Tanzania; we are dealing with Web Solutions, ICT Solutions, Graphic Designing and Video Productions. OUR MISSION is to inject energy and passion into what we do and make life interesting and exciting for everyone. As our motto says “Innovate Your World” In association with Shaibu Foundation Limited we proud to presenting to the public our campaign “Learn & Donate” As a company (Moyo Media Co. Ltd), we are expecting to conduct FREE ICT Training for Teachers/Youths/students especially thos
Tuzo ya Nobel ya Uchumi yaenda kwa Wamarekani

Tuzo ya Nobel ya Uchumi yaenda kwa Wamarekani

Updates
Wataalamu wawili wa Kimarekani kuhusu masuala ya uchumi wameshinda Tuzo ya Nobel ya Uchumi ya mwaka huu, kwa kujumuisha ubunifu na mazingira katika ukuaji wa kiuchumi. Jopo la tuzo hiyo limesema wanauchumi hao, William Nordhaus ambaye ni mhadhiri katika chuo kikuu cha Yale na Paul Romer, aliyekuwa mkuu wa masuala ya uchumi katika Benki ya Dunia na sasa ni mhadhiri katika Chuo cha Biashara mjini New York, wameweza kuyapatia jibu maswali magumu ya wakati huu, juu ya namna ya kutengeneza uchumi endelevu na wa muda mrefu. Jopo hilo limeongeza kuwa watu hao wawili wamepanua upeo wa uchambuzi wa kiuchumi, wakifafanua vyema namna uchumi wa masoko unavyoingiliana na mazingira asilia na ujuzi wa watu. Wote wawili, Nordhaus na Romer, wamekuwa wakitajwa kwa muda mrefu kama wastahiki wa t...
Win $10.000 in an international cybersecurity competition by Kaspersky Lab.

Win $10.000 in an international cybersecurity competition by Kaspersky Lab.

Teknolojia, Updates
Hello! We want to remind you about the opportunity to win $10.000 in an international cybersecurity competition by Kaspersky Lab.   Take your chance and sign up by October 20th. Registration What should I do to participate? Independently or with a team up to 3 people come up with an idea of a project on information security in one of the . Submit your idea to us via your personal account on the contest website until September, 30. And what’s next? Develop a prototype of the project and get an opportunity to go to the international finals of
Kanuni za kimataifa za elimu

Kanuni za kimataifa za elimu

Updates
Tukiwa kama wanadamu tunaishi katika sayari moja. Licha ya kuwa na utofauti katika   tamaduni zetu , tuna vitu vingingi ambavyo tunachangia , jambo ambalo tunatakiwa  kufahamu ni kwamba tunaishi katika wakati mmoja a na kuwa katika  historia moja.  Tunaishi tukiwa na imani tofauti, lugha tofauti,  jamii tofauti na bila kuweka kando  kinasaba. Licha ya kuwa katika kipindi kimaoja ambacho tunaishi kunakuwa pia na  ushawishi  baina yetu kwa watu ambao wanaishi jirani au kwa pamoja. Ushawishi huo  ni katika ujuzi, utamaduni na maisha ya kila siku.  Katika ushawishi huo tunatakiwa kujuliza kuwa  ushawishi huo   unatoa fursa ipi kwa utamaduni ulioachwa na mababu zetu  waliotutangulia. Kutoka katika  chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit , kitivo cha siasa Daktari Kudret BÜLBÜL anatu
Hanga Ngadinda Mosque Project

Hanga Ngadinda Mosque Project

Updates
We therefore appeal for your generous and urgent support towards our project and pray that you will be rewarded in this world and the hereafter for your contribution. Because Uthman ibn Affan reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Whoever builds a mosque for Allah, then Allah will build for him a house like it in Paradise.” Source: Ṣaḥīḥ al-Bukhārī 439, Ṣaḥīḥ Muslim 533 The provision estimate cost for renovation is TZS 983,700,000/= (Updated AS Per Bank Statement printed on July 01, 2019, Time 14:43 GMT+03:00:  TZS 780,000 has already been contributed, the remained balance is TZS 982,920,000/=) NOTE: Your donation/Zakkat goes a very long way. We have no staffing or administration costs so every penny you donate goes to the project. DONORS REGI
error: Content is protected !!