Updates

Taarifa rasmi: Serikali yapiga marufuku Bodaboda Zanzibar

Taarifa rasmi: Serikali yapiga marufuku Bodaboda Zanzibar

Biashara & Uchumi, Nyumbani, Updates
Kutokana na kuongezeka kwa ajali za barabarani zinazotokana na uendeshaji wa Pikipiki maarufu Bodaboda Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia bodi ya usafiri barabarani imepiga marufuku usafiri huo maarufu bodaboda kutumika kama chombo cha biashara visiwani Zanzibar. Marufuku hiyo ya bodaboda imeanza leo Septemba 21, 2018 kama ilivyoelezwa na katibu wa bodi ya usafiri barabarani Mohammed Simba Hassani. Kwamujibu wa kifungu namba 48 mabano 2 cha sheria ya usafiri barabarani, sheria namba 6 ya mwaka 2003 ni marufuku kwa mtu yeyote kutumia bodaboda au usafiri wa bodaboda kama ni chombo cha biashara. kuanzia muda wa tangazo hili Serikali itaanza kufanya operasheni kwa maeneo yote ambayo kutakuwa na mkusanyiko wa vyombo vya moto vya bodaboda ambavyo vinadhamira ya kuwapakia wananchi ...
Zaidi ya watu 100 wauawa na mafuriko nchini Nigeria

Zaidi ya watu 100 wauawa na mafuriko nchini Nigeria

Updates
Mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini Nigeria yameua watu zaidi ya 100 katika majimbo 10 ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika. Shirika la Kitaifa la Kushughulikia Majanga NEMA limesema mbali na kusababisha vifo, mafuruko hayo pia yamewalazimisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao katika maeneo ya kusini na katikati mwa nchi, hususan katika majimbo ya Kogi, Niger, Anambra na Delta. NEMA imesema mito Benue na Niger imevunja kingo zake na kusababisha mafuriko makubwa katika eneo la Lokoja; huku ikiwataka wakazi wa maeneo hayo kuhamia nyanda za juu. Karibu watu 50 waliaga dunia katika mafuriko mengine katikati ya mwezi Julai mwaka huu nchini Nigeria. Nigeria hushudia mafuriko kati ya Mei na Septemba kila mwaka Nigeria iliyoko magharibi mwa bara la Af
Secut’IT Cup — New Student Contest by Kaspersky Lab

Secut’IT Cup — New Student Contest by Kaspersky Lab

Updates
Hello! We would like to invite you to participate in a new cybersecurity challenge by Kaspersky Lab. What is it? A contest dedicated to facing the rapidly changing world and tackling the security challenges posed by new technologies in the following areas: • connected health • internet of things • personal security What should I do to participate? Students and young professionals aged 18-28. What should I do to participate? Independently or with a team up to 3 people come up with an idea of a project on information security in one of the . Submit your idea to us
KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA WA KIISLAM – 1440 H

KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA WA KIISLAM – 1440 H

Biashara & Uchumi, Jamii, Kimataifa, Mikoani, Nyumbani, Teknolojia, Updates
REF: MM/OD/E/2018/TO/SE11-077                                                                         11-09-2018 Taarifa kwa Umma, As Salaam A’laykum, KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA WA KIISLAM – 1440 H Awali ya yote hatuna budi kumshukuru Allah (S.W) kwa kutujaalia sote tukiwa wazima wa Afya na wale wote waliowagonjwa basi Allah awajaalie siha njema, pia kumtakia rehma mtume wetu Muhammad (S.A.W) pamoja na maswahaba wake, wake zake, jamaa zake na waislamu wote kwa ujumla dunia. Pia tunawaombea ndugu zetu katika imani ambao wametangulia mbele ya haki, Kampuni ya Moyo Media tunayo furaha kusherehekea mwaka mpya wa kiislamu 1440 H, Kwa niaba ya Uongozi wa kampuni, tunawatakia wafanyakazi wetu wote na waislamu duniani kote kheri na Baraka za mwaka 1440 H, Tunakuomba Mungu wet
error: Content is protected !!