Updates

Kanuni za kimataifa za elimu

Kanuni za kimataifa za elimu

Updates
Tukiwa kama wanadamu tunaishi katika sayari moja. Licha ya kuwa na utofauti katika   tamaduni zetu , tuna vitu vingingi ambavyo tunachangia , jambo ambalo tunatakiwa  kufahamu ni kwamba tunaishi katika wakati mmoja a na kuwa katika  historia moja.  Tunaishi tukiwa na imani tofauti, lugha tofauti,  jamii tofauti na bila kuweka kando  kinasaba. Licha ya kuwa katika kipindi kimaoja ambacho tunaishi kunakuwa pia na  ushawishi  baina yetu kwa watu ambao wanaishi jirani au kwa pamoja. Ushawishi huo  ni katika ujuzi, utamaduni na maisha ya kila siku.  Katika ushawishi huo tunatakiwa kujuliza kuwa  ushawishi huo   unatoa fursa ipi kwa utamaduni ulioachwa na mababu zetu  waliotutangulia. Kutoka katika  chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit , kitivo cha siasa Daktari Kudret BÜLBÜL anatu
Hanga Ngadinda Mosque Project

Hanga Ngadinda Mosque Project

Updates
We therefore appeal for your generous and urgent support towards our project and pray that you will be rewarded in this world and the hereafter for your contribution. Because Uthman ibn Affan reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Whoever builds a mosque for Allah, then Allah will build for him a house like it in Paradise.” Source: Ṣaḥīḥ al-Bukhārī 439, Ṣaḥīḥ Muslim 533 The provision estimate cost for renovation is TZS 983,700,000/= (Updated AS Per Bank Statement printed on May 18, 2019, Time 09:32 GMT+03:00:  TZS 780,000 has already been contributed, the remained balance is TZS 982,920,000/=) NOTE: Your donation/Zakkat goes a very long way. We have no staffing or administration costs so every penny you donate goes to the project. DONORS REGIS
Marekani yatuma wanajeshi wake katika mpaka wa Iraq na Syria

Marekani yatuma wanajeshi wake katika mpaka wa Iraq na Syria

Kimataifa, Updates
Duru za Iraq zimearifu kuwa Marekani imetuma wanajeshi wake karibu na kivuko cha al Qaim katika mpaka wa Iraq na Syria. Habari kutoka Iraq zinasema kuwa duru moja ya kiusalama katika mkoa wa al Anbar magharibi mwa Iraq imeripoti kuwa tangu siku tatu zilizopita wanajeshi wa Marekani wanajielekeza katika mkoa wa al Anbar unaopakana na Syria. Kwa mujibu wa ripoti hiyo hadi sasa hakuna oparesheni yoyote ya kijeshi iliyofanywa katika jangwa la al Anbar. Wakati huo huo duru za Iraq zimearifu kuwa wapiganaji wa Hashdu Shaa'bi  yaani vikosi vya kujitolewa vya wananchi wa Iraq na makundi mengine ya kijeshi ya nchi hiyo wapo katika jangwa hilo linalopatikana katika mkoa wa al Anbar ambao wana jukumu la kuhakikisha usalama unakuwepo katika mpaka wa al Qaim. Wanajeshi wa Marekani wakiwa katik
Taarifa rasmi: Serikali yapiga marufuku Bodaboda Zanzibar

Taarifa rasmi: Serikali yapiga marufuku Bodaboda Zanzibar

Biashara & Uchumi, Nyumbani, Updates
Kutokana na kuongezeka kwa ajali za barabarani zinazotokana na uendeshaji wa Pikipiki maarufu Bodaboda Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia bodi ya usafiri barabarani imepiga marufuku usafiri huo maarufu bodaboda kutumika kama chombo cha biashara visiwani Zanzibar. Marufuku hiyo ya bodaboda imeanza leo Septemba 21, 2018 kama ilivyoelezwa na katibu wa bodi ya usafiri barabarani Mohammed Simba Hassani. Kwamujibu wa kifungu namba 48 mabano 2 cha sheria ya usafiri barabarani, sheria namba 6 ya mwaka 2003 ni marufuku kwa mtu yeyote kutumia bodaboda au usafiri wa bodaboda kama ni chombo cha biashara. kuanzia muda wa tangazo hili Serikali itaanza kufanya operasheni kwa maeneo yote ambayo kutakuwa na mkusanyiko wa vyombo vya moto vya bodaboda ambavyo vinadhamira ya kuwapakia wananchi ...
error: Content is protected !!