Teknolojia

NAMIBIA: Kijana wa Sekondari agundua simu isiyotumia vocha

NAMIBIA: Kijana wa Sekondari agundua simu isiyotumia vocha

Teknolojia
Kijana Simon Petrus Mwanafunzi wa Sekondari agundua simu inayofanya mawasiliano bila ya kutumia muda wa maongezi 'Vocha' Kijana huyo aliyetikisa kurasa mbalimbali za Mitandao ya Kijamii ameuelezea ugunduzi wake huo kuwa unatumia mawimbi ya redio na hauitaji kuwa na 'sim card na airtime' Imemchukua miaka miwili kukamilisha ugunduzi huo alioufanya kwa kutumia mabaki ya simu na runinga zilizoharibika Wazazi wake ambao hawana ajira kwa sasa walihangaika kumsaidia kijana wao katika ugunduzi wake Mradi huo umemgharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi za Kitanzania Milioni Nne     CHANZO: JAMII FORUM
Yusaku Maezawa: Bilionea wa Japan kuzuru kwenye mwezi

Yusaku Maezawa: Bilionea wa Japan kuzuru kwenye mwezi

Biashara & Uchumi, Teknolojia
Bilionea wa Kijapani Yusaku Maezawa Bilionea wa Kijapani Yusaku Maezawa alionekana kwa mara ya kwanza katika umma kama mpiga ngoma wa bendi ambaye hakuwa na mvuto wowote . Maezawa ameweza kutengeneza fursa za utajiri wake kupitia shughuli za mitindo mtandaoni,na ameweza kujulikana zaidi nje ya Japan kwa kuweka rekodi ya kutumia mamilioni ya Dolla. Kwa sasa bwana Maezawa anatamani kuwa abiria wa kwanza kusafiri kwenye mwezi na hii ikiwa ni sehemu ya matarajio yake katika mpango alionao na Elon Musk's SpaceX. Mwisho wa ujumbe wa Twitter wa @yousuck2020 Nyota huyo wa kijapan amepanga kuongozana na kundi la wanamuziki katika safari yake ya mwezini itakayofanyika mwaka 2023 anataka kuongozana na kundi la wasanii. Maezawa, mwenye umri wa miaka 42,hajafahamu bado ni...
Serikali Haina Mtandao wa Kutoa Mikopo Kwa Dakika 45.

Serikali Haina Mtandao wa Kutoa Mikopo Kwa Dakika 45.

Biashara & Uchumi, Teknolojia
Kumeibuka matangazo kwenye mtandao wa FACEBOOK yanayosema kwamba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki sherehe ya uzinduzi wa tovuti yawww.boreshamaisha.ml ambayo inatoa mikopo ndani ya dakika 45. Waliofungua ukurasa huo wa FACECOOK, hawana uhusiano wowote na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tovuti hii ya www.boreshamaisha.ml inaonesha ni ya Malaysia wala siyo ya Tanzania. Wanasema wanatoa mikopo hiyo kutoka mfuko wa VICOBA TANZANIA ambao umeanzishwa katika mfumo wa intaneti pekee (online). Wanadai wanatumia mawasiliano ya teknolojia kwa uchukuzi wa haraka kupitia tovuti kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa mikopo kwa kila Mtanzania popote alipo. Wafunguaji wa akaunti hiyo, wametumia jina la Kassim Majaliwa na wameweka picha yake akiwa Bungeni. Wanadai kwamba Wazi
Mjasiriamali Chakechake aonyesha ubunifu akitumia zana za kizamani

Mjasiriamali Chakechake aonyesha ubunifu akitumia zana za kizamani

Biashara & Uchumi, Nyumbani, Teknolojia
MJASIARIAMALI Nathoo Abdullkarim Nathoo akiwaonesha Viongozi wa Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, wakiongozwa na Afisa Mdhamini Wizara hiyo Fatma Hamad Rajab na Afisa Mipango Omar Juma Ali, jinsi gani anavyofanya kazi zake kwa kutumia dhana za kizamani, wakati akichapisha fulana kwa kutumia kibao alichotengeneza mwenyewe.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) AFISA Mdhamini  Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab akiangalia utendaji wa kazi wa utengenezaji wa nembo na kudizaini vitu mbali mbali, kwa kutumia Komputa kutoka kwa mjasiriamali Nathoo Abdullkarim Nathoo wa Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Yusaku Maezawa: Elon Musk azindua mtalii kwa kwanza atakayekwenda kwenye Mwezi akitumia chombo cha SpaceX

Yusaku Maezawa: Elon Musk azindua mtalii kwa kwanza atakayekwenda kwenye Mwezi akitumia chombo cha SpaceX

Biashara & Uchumi, Teknolojia
Kampuni ya tajiri maarufu Elon Musk ya SpaceX imetangaza nani atakuwa abiria wake wa kwanza, mtalii, ambaye atasafirishwa kwenda kuuzunguka Mwezi. Mtalii huyo atakuwa ni bilionea Mjapani Yusaku Maezawa, 42, ambaye pia ni mjasiriamali na mwenye biashara kubwa ya uuzaji wa mitindo ya mavazi na ubunifu kupitia mtandao. Mwenyewe ametangaza: "Nimeamua kwenda kwa Mwezi." Anatarajiwa kusafiri kwa kutumia chombo cha roketi kwa jina Big Falcon Rocket (BFR), ambacho ni chombo cha usafiri wa anga za juu kilichozinduliwa na Bw Musk mwaka 2016. Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa binadamu kwenda kwenye Mwezi tangu safari zilizofanywa na wana anga walioabiri chombo cha Apollo 17 cha Shirika la Anga za Juu la Marekani (Nasa) mwaka 1972. Tangazo kwamba Yusaku atakuwa wa kwanza kufanya ziara hiy...
error: Content is protected !!