Teknolojia

Ligi Kuu England: Teknolojia ya VAR kufanyiwa majaribio mechi tano za EPL Jumamosi

Ligi Kuu England: Teknolojia ya VAR kufanyiwa majaribio mechi tano za EPL Jumamosi

Kimataifa, Teknolojia
Waamuzi wa VAR wakati wa Kombe la Dunia Urusi Teknolojia ya kutumia video kuwasaidia waamuzi, maarufu kama VAR, itafanyiwa majaribio katika mechi kadha kwa pamoja Ligi Kuu ya England kwa mara ya kwanza Jumamosi. Teknolojia hiyo itajaribiwa katika mechi tano ambazo zitakuwa zinachezwa kuanzia saa kumi na moja saa za Afrika Mashariki. Baada ya kujaribiwa katika mechi moja moja msimu uliopita, wasimamizi wa Ligi ya Premia sasa wanataka kuona iwapo teknolojia hiyo inaweza kufanikiwa ikitumiwa katika mechi kadha kwa wakati mmoja. Majaribio hayo yatakuwa yanadhibitiwa kutoka kituo kimoja kikuu cha VAR. Hakutakuwa na mawasiliano ya aina yoyote na waamuzi uwanjani mechi zitakapokuwa zikiendelea. Kwa sasa wakati wa majaribio, teknolojia hiyo ya VAR itatumiwa katika uamuzi wa kuthibiti...
Uturuki yauza simu zake za kisasa katika mataifa 33 ulimwenguni

Uturuki yauza simu zake za kisasa katika mataifa 33 ulimwenguni

Biashara & Uchumi, Teknolojia
Shirika la utenegezaji  wa simu za kisasa la Uturuki General Mobil limefahamisha ya kwamba kwa sasa linauza simu zake katika mataifa 33 ulimwenguni. Mkurugenzi wa shirika hilo Sabahattin Yaman  amefahamisha Jumanne kuwa  shirika hilo limewekeza kiwango cha   milioini 100  za Lira  kwa ajili ya mradi huo mjini Istanbul. Shirika hilo linataraji kupanua soko lake na kufikia mataifa 45 kabla ya mwaka 2018 kumalizika. Hayo mkurugenzi wa shirika hilo ameyazungumza akiwa katika uzinduzi wa  toleo jipya lake la GM 9 Pro mjini Istanbul.
KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA WA KIISLAM – 1440 H

KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA WA KIISLAM – 1440 H

Biashara & Uchumi, Jamii, Kimataifa, Mikoani, Nyumbani, Teknolojia, Updates
REF: MM/OD/E/2018/TO/SE11-077                                                                         11-09-2018 Taarifa kwa Umma, As Salaam A’laykum, KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA WA KIISLAM – 1440 H Awali ya yote hatuna budi kumshukuru Allah (S.W) kwa kutujaalia sote tukiwa wazima wa Afya na wale wote waliowagonjwa basi Allah awajaalie siha njema, pia kumtakia rehma mtume wetu Muhammad (S.A.W) pamoja na maswahaba wake, wake zake, jamaa zake na waislamu wote kwa ujumla dunia. Pia tunawaombea ndugu zetu katika imani ambao wametangulia mbele ya haki, Kampuni ya Moyo Media tunayo furaha kusherehekea mwaka mpya wa kiislamu 1440 H, Kwa niaba ya Uongozi wa kampuni, tunawatakia wafanyakazi wetu wote na waislamu duniani kote kheri na Baraka za mwaka 1440 H, Tunakuomba Mungu wet
Nini maana ya Mtandao wa Vitu (Internet of Things – IoT) ?

Nini maana ya Mtandao wa Vitu (Internet of Things – IoT) ?

Biashara & Uchumi, Jamii, Teknolojia
Nini maana ya Mtandao wa Vitu (Internet of Things - IoT) ? Mtandao wa vitu (Internet of Things – IoT) ni mfumo wa vifaa vya kompyuta zinazohusiana, mashine za mitambo na digital, vitu, wanyama au watu ambao hutolewa na vitambulisho vya kipekee (UIDs) na uwezo wa kuhamisha data juu ya mtandao bila kuhitaji ushirikiano wa kibinadamu au wa binadamu na kompyuta. .   Kwa kuongezeka kwa matumizi ya tehama, mashirika katika viwanda mbalimbali wanatumia IoT kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kuelewa vizuri wateja ili kutoa huduma iliyoboreshwa kwa wateja, kuboresha maamuzi na kuongeza thamani ya biashara. Kevin Ashton, mwanzilishi wa Kituo cha Idhaa ya Auto katika MIT, alitaja kwa mara ya kwanza mtandao wa mambo (IoT) katika uwasilishaji aliyofanya kwa Procter & Gamble (P &a
error: Content is protected !!