Teknolojia

Kim Kardashian ni miongoni mwa watu hatari zaidi kiusalama mtandaoni

Kim Kardashian ni miongoni mwa watu hatari zaidi kiusalama mtandaoni

Teknolojia
Iwapo unatafuta taarifa kuhusu kipindi cha karibuni zaidi cha Keeping Up With the Kardashians kuhusu maisha ya Kim Kardashian-West na jamaa zake, au pengine unatafuta za karibuni zaidi kuhusu Kanye West, au ukipenda YE, unafaa kutahadhari zaidi. Mwigizaji nyota huyo wa vipindi vya uhalisia kwenye televisheni Kim Kardashian ndiye mtu mashuhuri ambaye ni hatari zaidi kutafuta taarifa kumhusu mtandaoni mwaka 2018. Hii ni kwa mujibu wa kampuni ya usalama mtandaoni ya McAfee, ambayo ilichunguza matokeo ya kutafuta habari kuwahusu watu mbalimbali na hatari zilizopo. Walibaini kwamba Kim Kardashian anaongoza kwa matokeo ya kutafuta habari zake kuwa na viunganishi vyenye virusi vya mtandaoni na programu za kudukua na kupora maelezo kuwahusu watu mtandaoni. Mwaka uliopita, mwanamuziki C...
Udukuzi wa akaunti milioni 50 za Facebook wapata ufumbuzi

Udukuzi wa akaunti milioni 50 za Facebook wapata ufumbuzi

Biashara & Uchumi, Teknolojia
Facebook imesema zaidi ya watu milioni 50 akaunti zao zimeingiliwa na wengine zilijaribiwa kuingiliwa na wavamizi. Kampuni hiyo imesema kuwa wavamizi walichunguza katika sehemu za miundo ya akaunti kwa watumiaji. Tatizo hili liligundulika siku ya Jumanne, na Facebook wameshatoa taarifa polisi. Watumiaji ambao wameathirika na uvamizi huo wameambiwa wataruhusiwa kuingia kwa mara ya nyingine tena kuanzia wiki ijayo. Kampuni imetoa taarifa kuwa tatizo litakuwa limetatuliwa Makamu wa Rais wa Facebook Guy Rosen amesema tatizo limekwisha, huku akaunti nyingine milioni 40 zimewekwa kwenye uangalizi maalum. Tangu kuibuka kwa tatizo hilo Facebook bei ya ushirikiano imeshuka kwa asilimia 3 hasa siku ya Ijumaa na huku zaidi ya watumiaji bilioni mbili wamekuwa wanatumia mtandao huo. W...
Sylivia Mulinge: Mkenya anyimwa kibali cha kusimamia kampuni ya Vodacom Tanzania

Sylivia Mulinge: Mkenya anyimwa kibali cha kusimamia kampuni ya Vodacom Tanzania

Biashara & Uchumi, Teknolojia
Sylvia Mulinge akosa kibali cha kufanyia kazi Tanzania Kampuni ya Vodacom nchini Tanzania imethibitisha kuwa ombi la kibali cha kufanya kazi cha Sylvia Mulinge ambaye ni raia wa Kenya ,aliyepata wadhifa wa kuwa mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo ya huduma za simu nchini Tanzania limekataliwa na kamishna wa wafanyikazi nchini humo. Vodacom inayofanya kazi chini ya shirika la Telecom imesema itaanza kumtafuta mtu mwingine atakayechukua wadhfa huo badala yake. "Vodacom itasalia kuwajibika kumtafuta afisa ambaye sio tu atavutia imani ya wawekezaji bali pia kuwa na uwezo wa kuongoza kampuni hiyo", ilisema kampuni hiyo ya simu za mkononi. Mwenyekiti wa Vodacom Tanzania , Ali Mufuruki alisema wana masikitiko makubwa kutokana na uamuzi uliotolewa lakini wataendelea kushirikiana na mamlaka il...
Unaitumia Google mara ngapi kwa siku? haya ni mambo ambayo huenda huyajui kuhusu kampuni hiyo

Unaitumia Google mara ngapi kwa siku? haya ni mambo ambayo huenda huyajui kuhusu kampuni hiyo

Biashara & Uchumi, Teknolojia
Unakumbuka maisha kabala ya Google? ulifanya nini wakati ulihitaji kutafuta taarifa fulani kwa haraka? Chochote unachokitafuta liwe jina la kitu fulani au jinsi ya kuandika jina fulani au jina la eneo fulani bila shaka ni lazima utafute kwenye Google. Kwa kukadiria Google hushughulikia karibu mambo 40,000 kwa sekunde moja, hiyo ni sawa na mambo bilioni 3.5 kwa siku. Google sasa imegeuka kuwa sio eneo tu la kutafuta majina lakini pia sehemu muhimu kwa matangazo na mkusanyaji wa taarifa za watu. Kila wakati unapofanya kitu fulani, Google inajua kuhusu tabia zetu. Lakini wewe unafahamu mambo yapi kuhusu Google? Haya ni baadhi ya mambo yanayoweza kukushangaza. 1. Jina Kuliandika vibaya jina kati ya marafiki Google ni nini? kwa kweli neno Google halimaanisha chochote. Li...
Askari mwanamke India aliyezuia Mauaji ya WhatsApp

Askari mwanamke India aliyezuia Mauaji ya WhatsApp

Jamii, Teknolojia
Rema Rajeshwari mkuu wa polisi wa Wilaya Polisi waliamua kufanya uchunguzi kwenye simu za wanavijiji waligundua kuwa kati ya video na picha 30 na 35 ambayo iliwakuwa ikisambazwa na kumuonesha mtoto akiwa ametekwa,kwa uhalisia, hiyo ilikuwa ni kutoka katika moja ya filamu kutoka nchini Pakstani ambayo iliondolewa baadhi ya maudhui yake na kisha kufuatiwa na sauti. Jambo lisilo la kawaida latokea muda wa magharibi kwa wanavijiji zaida ya 400 katika mji wa Telangana uliopo kusini mwa India Wanaume na wanawake walirejea majumbani mwao mapema kuliko kawaida kutoka mashambani,wakifunga milango,wakizima taa na kusalia ndani licha ya watoto kuwa na kawaida ya kucheza nje kwa muda mrefu, tulikuwa wa kwanza kurudi,mitaa yote ilikuwa kimya na hofu ikiendelea kutanda. Hii ilikuwa si tabia ya ...
error: Content is protected !!