Siasa

Kaka wa Mfalme Salman wa Saudia, atoroka nchi akilalamikia siasa za Mohammad Bin Salman

Kaka wa Mfalme Salman wa Saudia, atoroka nchi akilalamikia siasa za Mohammad Bin Salman

Kimataifa, Siasa
Kaka wa Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia na katika kulalamikia siasa za kigeni za mfalme huyo na Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo na uingiliaji wake katika vita vya Yemen, ameamua kuondoka Saudia sambamba na kuwaondoa watu wa familia yake kutoka ardhi ya nchi hiyo. Hivi karibuni Ahmed bin Abdulaziz Al Saud ambaye pia aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Njdani alionekana wazi akiandamana pamoja na watu kadhaa mjini Longon, Uingereza wakilaani siasa za kigeni zinazotekelezwa na Mfalme Salman bin Abdulaziz pamoja na mwanaye Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo na kadhalika nafasi yao katika kuishambulia kijeshi Yemen. Inaelezwa kuwa, matamshi ya ukosoaji wa mwanamfalme huyo wa Saudia yaliibua hasira kali ya Mfalme Sal
Rais Tayyip Erdoğan: Marekani inajaribu kuua kigaidi uchumi wa Uturuki

Rais Tayyip Erdoğan: Marekani inajaribu kuua kigaidi uchumi wa Uturuki

Biashara & Uchumi, Siasa
Kwa mara nyingine Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesisitiza kwamba, Marekani iko nyuma ya vita vya kiuchumi vilivyoanzishwa dhidi ya nchi yake. Rais Erdoğan ameyasema hayo akiwahutubia wafuasi wa chama chake ambapo ametaka kuimarishwa nafasi ya fedha ya kitaifa ya Lira ya nchi hiyo katika mabadilishano na nchi nyingine. "Tunakabiliwa na shambulizi la uchumi wa nchi yetu, na kuporomoka thamani ya sarafu ya Lira ni njama za adui kwa ajili ya kuua kigaidi uchumi wa Uturuki." Amesema Rais Erdoğan. Serikali ya Ankara inafanya juhudi kwa ajili ya kurejesha uthabiti wa sarafu yake ya Lira ambapo tangu mwanzoni mwa mwaka huu hadi sasa fedha hiyo imepoteza karibu asilimia 40 ya thamani yake mkabala wa Dola ya Kimarekani. Sarafu ya Lira iliyopoteza thamani kutokana na njama za Marek
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Raya Issa Msellem Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar Kuhusiana na Mkutano wa 11 wa Baraza la Wawakilishi. la Tisa

Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Raya Issa Msellem Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar Kuhusiana na Mkutano wa 11 wa Baraza la Wawakilishi. la Tisa

Siasa
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Mhe.Raya Issa Msellem akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusiana na kukamilika Kwa matayarisho ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Tisa, unaotarajiwa kufanyika wiki hii na kuwasilisha miswada ya Sheria Mitatu na kuwasilisha na Majibu 154 na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Miswada ya Sheria inayotarajiwa kuwasilishwa na Kusomwa Kwa mara ya Kwanza katika Mkutano wa mwezi wa Mei,2018 itakayosomwa katika Mkutano huu wa Kumi na Moja unaotarajiwa kufanyika tarehe19 September 2018. i) Miswada wa Sheria Kuweka Masharti Bora ya Usimamizi wa Mahakama,Kufafanua Utumishi wa Mahakama,Kuazisha Ofisi za Mtendaji Mkuu wa Mahakama na Mrajis,Kuazisha Mfuko waMahakama na kuweka Mashartimengine yanayohusiana na hayo. ii)M...
Qassemi amempongeza Mohamed al Halbusi, kuchaguliwa Spika wa bunge la Iraq

Qassemi amempongeza Mohamed al Halbusi, kuchaguliwa Spika wa bunge la Iraq

Siasa
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepongeza kuchaguliwa Spika wa bunge la Iraq na wabunge waliochaguliwa na wananchi. Mohamed Al Halbusi amechaguliwa kuwa Spika wa duru ya nne ya bunge la Iraq kwa kura nyingi za wabunge. Bahram Qassemi Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepongeza uchaguzi huo na kuwahutubu Mohamed Al Halbusi Spika Mpya wa bunge la Iraq, wabunge wengine na wananchi kwa kusema kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku zote inaunga mkono demokrasia, umoja wa ardhi ya nchi hiyo na mamlaka ya kitaifa ya Iraq na inaunga mkono maamuzi ya wabunge wanaochaguliwa na wananchi. Mohamed al Halbusi, Spika mpya wa bunge la Iraq  Qassemi amesema kuchaguliwa Spika wa bunge la Iraq ni hatua muhimu na ya dharura kwa ajili ya kuunda serikali mpya huko Iraq na akasema anat
Marekani yataka Zimbabwe itekeleze ahadi ndipo vikwazo viondolewe

Marekani yataka Zimbabwe itekeleze ahadi ndipo vikwazo viondolewe

Siasa
Balozi Brian Nichols Balozi mpya wa Marekani nchini Zimbabwe, Brian Nichols, amesema kuwa Zimbabwe lazima itekeleze ahadi ya mageuzi iliyotangaza iwapo inataka vikwazo ilivyowekewa na Marekani viondolewe. Katika mahojiano Ijumaa na VOA katika jengo la makao makuu ya Sauti ya Amerika, Washington, DC, Balozi Nichols amesema kuwa serikali mpya iliochaguliwa Zimbabwe ya Rais Emmerson Mnangagwa itapata kuungwa mkono kikamilifu na serikali ya Marekani ikiwa itatekeleza mabadiliko ya kisheria iliyo ahidi wakati wa kampeni za uchaguzi. Amesema mageuzi hayo ni pamoja na kufuata utawala wa sheria na kuruhusu wananchi uhuru wao wa kupasha habari na uhuru wakueleza wanachotaka. Vikwazo vyarudishwa upya Mwezi uliopita, Rais wa Marekani Donald Trump alirudisha vikwazo upya dhi...
error: Content is protected !!