Nyumbani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Alipofika Ikulu Zanzibar Kujitambulisha leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Alipofika Ikulu Zanzibar Kujitambulisha leo.

Nyumbani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)  akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu alipofika kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na ujumbe wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambilisha akiwa  na ujumbe wake (hawapo pichani) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na  Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo alipofika kujitambulisha leo Ikulu. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti w
UJUMBE wa watu tisa kutoka Jimbo la Cless nchini Itali, umewasili kisiwani Pemba kwa ziara ya siku tano, yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa kimaendeleo baina ya Jimbo hilo na wilaya ya Chakechake kisiwani Pemba

UJUMBE wa watu tisa kutoka Jimbo la Cless nchini Itali, umewasili kisiwani Pemba kwa ziara ya siku tano, yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa kimaendeleo baina ya Jimbo hilo na wilaya ya Chakechake kisiwani Pemba

Nyumbani
UJUMBE wa watu tisa kutoka Jimbo la Cless nchini Itali, umewasili kisiwani Pemba kwa ziara ya siku tano, yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa kimaendeleo baina ya Jimbo hilo na wilaya ya Chakechake kisiwani. Ujumbue huo unaoongozwa na Meya wa jimbo hilo Ruggero Mucchi, ulipokelewa jana uwanja wa ndege wa Karume Chakechake na uongozi wa wilaya ya Chakechake, uliokuwa ukiongozwa na mkuu wa wilaya hiyo Rashid Hadid Rashid. Mara baada ya kuwasili kwa ujumbe huo, Meya wa Jimbo la Cless, alisema anafurahi kuona hadi leo uhusiano huo unadumu na mafanikio yanaonekana. Alisema moja ya mafanikio hayo tokea kuanzishwa kwa uhusiano na wilaya ya Chakechake, ni uimarishaji wa huduma za afya hasa ya mama na mtoto, kwa ujenzi wa kituo kipya cha afya cha Pujini. Meya huyo, alisema hata kus...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Atembelea Manispa ya Guilin China.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Atembelea Manispa ya Guilin China.

Nyumbani
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif akimpongeza Mkulima maarufu wa mazao ya Chenza maarufu kwa jina la Konco Bibi Lai Yumei alipomtembea  shambani kwake kuangalia taaluma anayotumia katika kilimo hicho.  Picha na – OMPR – ZNZ. Na.Othman Khamis OMPR. Serikali ya Manispaa ya Guilin katika Jimbo la Guangxi Nchini China iko tayari kushirikiana na Tanzania katika kuimarisha kwa pamoja masuala yaliyomo ndani ya  Sekta za Utalii, Kilimo na Mazingira kwa nia ya kustawisha Uchumi wa Wananchi wa pande hizo mbili. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Meya wa Manispaa ya Guilin Bibi Wei Fengyun kwenye Hoteli ya Kimataifa ya Shangrila Spa wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Ujumbe wake walipofanya ziara ya Siku mbili kwenye Manispaa hiyo kuangalia miradi ya m
Dk. Sira: Wakandarasi tangulizeni uzalendo

Dk. Sira: Wakandarasi tangulizeni uzalendo

Nyumbani
WIZARA ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, imewataka watendaji wa ujenzi wa barabara kuwa wazalendo na nchi yao kwa kutengeneza barabara zanye kiwango na zitakazoweza kudumu kwa muda mrefu. Waziri wa wizara hiyo, Dk. Sira Ubwa Mamboya, alieleza hayo wakati akiwa katika ziara ya kutembelea barabara ya njia kongwe Chake – Wete, ambayo ipo katika matayarisho ya kujengwa upya. Alieleza ipo haja ya kuwatumia wakandarasi wa ndani baada ya kutegemea kutoka nje ya nchi, kwani kwa sasa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibari imeamua kununua vifaa vya ujenzi ambavyo vitasaidia kujenga barabara. Waziri huyo alisema, serikali imekuwa ikitumia pesa nyingi kwa wakandarasi kutoka nje ya nchi kwa kujenga barabara na hatimae wanapitisha muda wa makubaliano, huku barabara nyengine zikijengwa chini y
WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kupatikana na dawa za kulevya.

WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kupatikana na dawa za kulevya.

Jamii, Nyumbani
WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kupatikana na dawa za kulevya. Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Haji Abdalla Haji, aliwataja watuhumiwa kuwa nii Staling Makame Machano mkaazi wa Chaani Njaro, aliyepatikana na kete 293 zikiwa kwenye vifurushi. Mwengine ni Mohamed Chum Haji (39) mkaazi wa Mahonda aliyepatikana na kete 98 zinazosadikiwa kuwa nibangi. Alisema watuhumiwa hao walikamatwa Septemba 9, mwaka huu saa 9:00 usiku. Alisema watuhumiwa hao walikamatwa kufuatia operesheni ya kupambana na dawa za kulevya. Alisema jeshi hilo litaendelea kupambana na wauzaji, wasambazaji na watumiaji wa dawa za kulevya kwa lengo la kukomeshabiashara hiyo. Hata hivyo, aliwanasihi vijana kuacha kutumia dawa za kulevya pamoja na kujihusisha na biashar...
error: Content is protected !!