Nyumbani

TI: Jitihada za Magufuli za kupambana na ufisadi Tanzania zinazaa matunda

TI: Jitihada za Magufuli za kupambana na ufisadi Tanzania zinazaa matunda

Biashara & Uchumi, Jamii, Mikoani, Nyumbani, Updates
Rais John Magufuli Utendakazi na jitihada za kupambana na ufisadi za Rais John Magufuli wa Tanzania zimeifanya nchi hiyo ya Afrika Mashariki ishike nafasi ya kwanza barani Afrika katika vita dhidi ya ufisadi. Ripoti mpya ya utafiti uliofanywa na mashirika ya Transparency International (TI) na Afro- Barometer imesema kuwa, Tanzania imeibuka ya kwanza barani Afrika katika kategoria mbili za kupambana na ufisadi na rushwa. Asilimia 50 ya Watanzania walioshirikishwa kwenye utafiti huo wa Transparency International wanaamini kuwa, licha ya kuweko vizingiti vingi katika vita dhidi ya ufisadi, lakini aghalabu ya wananchi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki wako tayari kuchua hatua za kupambana na ufisadi wa kifedha. Watu 47,000 wameshirikishwa kwenye utafiti huo uli
Tumieni wataalamu wastaafu kupata ufanisi

Tumieni wataalamu wastaafu kupata ufanisi

Afya, Jamii, Nyumbani
Sekta ya afya inaweza kupiga hatua kubwa za maendeleo hasa katika nchi zinazoendelea iwapo wataalamu wazoefu wastaafu wataendelea kutumika na kutumia uzoefu wao kwa faida ya jamii. Profesa Li Rongshan, Mtendaji Mkuu katika Hospitali ya jimbo la Shanxi alisema serikali katika nchi nyingi zinazoendelea zimeshindwa kuwatumia wataalamu wazoefu wa afya katika nchi zao hali inayopelekea sekta ya afya kukumbwa na changamoto nyingi katika nchi hizo. Akizungumza na watendaji wa sekta ya afya kutoka Zanzibar katika ukumbi wa Shanxi Jingmao, alisema sio vyema kuwaachia wataalamu wa afya wazoefu wakiodoka katika utendaji kwa kisingizio cha umri wa kumaliza muda wa utumishi wakati taaluma na uzoefu wao bado vinaweza kuwabakisha katika utendaji. “Changamoto zetu za sekta ya afya n
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Awakabidhi Nishani Madaktari Bingwa wa Kichina Zanzibar Baada ya Kumaliza Muda Wao

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Awakabidhi Nishani Madaktari Bingwa wa Kichina Zanzibar Baada ya Kumaliza Muda Wao

Afya, Nyumbani
Waziri wa Afya Zanzibar Hamadi Rashidi Muhamed Waziri wa Afya Zanzibar Hamadi Rashidi Muhamed amewatunuku nishani madaktari wa kichina walio maliza muda wao wakutumikia kutoa huduma ya afya hapa Zanzibar katika matibabu mbalimbali yakiwemo mgonjwa ya upasuaji,koo na moyo. Akitoa nishani hizo katika ukumbi wa dkt.Idrissa Adbuiwakili hapo kikwajuni Waziri hamadi alisema nishani hizo ni kutuwatunukia kutokana na kuweza kuitumikia Wizara ya Afya kwajuhudi zao za kitalamu kuwasaidia wananchi wa Zanzibar kuwapa matibabu bora. Amesema Serikali ya Zanzibar imeridhika na huduma zao hivyo hakunabudi kuonesha utuwao kwa kuwapa nishani  hizo za upendo na utendaji bora kwa kazi walizo kuwa wakizifanya kilasiku. Aidha waziri huyo alisema kuwa Serikali ya china na Zanzibar nimafraf
Mahujaji 2,500 kutoka Tanzania wanatarajia kuondoka nchini kwenda Saudi Arabia kwa ajili ya kutekeleza ibada ya hija ambayo ni nguzo ya tano ya uislamu

Mahujaji 2,500 kutoka Tanzania wanatarajia kuondoka nchini kwenda Saudi Arabia kwa ajili ya kutekeleza ibada ya hija ambayo ni nguzo ya tano ya uislamu

Jamii, Mikoani, Nyumbani, Updates
JUMLA ya mahujaji 2,500 kutoka Tanzania wanatarajia kuondoka nchini kwenda Saudi Arabia kwa ajili ya kutekeleza ibada ya hija ambayo ni nguzo ya tano ya uislamu. Mahujaji hao ni wale kutoka taasisi 37 zilizosajiliwa na kukamilisha vigezo ikiwemo 22 kutoka Zanzibar na 15 kutoka Tanzania Bara, kati ya taasisi zaidi ya 40 zilizopo Tanzania. Hayo yalielezwa na Mkuu wa Kitengo cha Dini kutoka Kamisheni ya Wakfu na Maliamana Zanzibar, Khalid Mohammed Mrisho, wakati akizungumza na Zanzibar Leo, ofisini kwake Mazizini. Alisema, mahujaji hao 1,700 ni kutoka taasisi zilizosajiliwa Zanzibar na 800 kutoka Tanzania Bara. Aidha, alisema mahujaji wa mwanzo kutoka ni kutoka taasisi ya Zadawa ambayo itaondoka nchini Julai 24 mwaka huu na mahujaji wa mwisho kurejea nyumbani ni wale ...
Timu ya 29 madaktari wa Kichina yaanza kazi Abdalla Mzee

Timu ya 29 madaktari wa Kichina yaanza kazi Abdalla Mzee

Afya, Jamii, Nyumbani
TIMU ya 28 ya madaktari kutoka China waliokuwa wakifanya kazi katika hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani,wameagwa baada ya kumaliza muda wao wa kazi uliodumu kwa mwaka mmoja. Nafasi yao imechukuliwa na madaktari wengine wa timu ya watu 29. Akiwaaga madaktari hao, Ofisa Mdhamini Wizara ya Afya Pemba, Shadya Shaaban Seif, aliipongeza China kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika sekta mbali mbali za maendeleo ikiwemo afya. Alisema katika kipindi chao cha kuhudumu kulikuwa na mabadiliko makubwa ya utoaji huduma na kwamba wananchi walifarajika na huduma walizopata. Aidha alisema, tayari hospitali hiyo imepokea madaktari mbadala ambao wataziba pengo lao. Akizungumzia mafanikio,alisema  ni kutoa tiba bora za upasuaji na kuendesha mafunzo kwa kutibu maradhi mbali ...
error: Content is protected !!