Mikoani

TRA Yaendelea Kutowa Mafunzo Kwa Watumishi Wake Mkoani Kilimanjaro.

TRA Yaendelea Kutowa Mafunzo Kwa Watumishi Wake Mkoani Kilimanjaro.

Biashara & Uchumi, Mikoani
Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kilimanjaro Msafiri Mbibo akizungumza wakati wa utoaji elimu kwa wafanyakazi wa TRA Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro  iliyofanyika leo kwa lengo la kuwajengea uwezo watumishi hao ili waendelee kutoa huduma bora na stahiki kwa wateja wao. Afisa Maadili Mwandamizi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Adelaida Rweikiza akiwasilisha mada kuhusu Kanuni za Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma wakati wa utoaji elimu kwa wafanyakazi wa TRA Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro  iliyofanyika leo kwa lengo la kuwajengea uwezo watumishi hao ili waendelee kutoa huduma bora na stahiki kwa wateja wao. Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wakisikiliza kwa makini mada kuh
RC Shigella Awaonya Wananchi wa Kipumbwi Kuhusu Uingizaji wa Dawa za Kulevya na Biashara za Magendo.

RC Shigella Awaonya Wananchi wa Kipumbwi Kuhusu Uingizaji wa Dawa za Kulevya na Biashara za Magendo.

Mikoani
Tanga Martine Shigella akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kwakibuyu Kata ya Kipumbwi wilayani Pangani wakati wa ziara yake ambapo aliwataka kuacha kushiriki kwenye vitendo vya biashara haramu za magendo na uingizaji wa dawa za kulevya NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso akizungumza katika ziara hiyo ya mkuu wa mkoa MKUU wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah  Issa akizungumza katika ziara hiyo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Pangani Hamis Mnegero akizungumza katika ziara hiyo Katibu Tawala wa wilaya ya Pangani (DAS) Mwl Hassani Nyange akizungumza katika ziara hiyo Mwenyekiti wa Halmashuri ya wilaya ya Pangani  akizungumza katika ziara hiyo MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella katika akiteta
Aliyekuwa mfalme wa Reggae Tanzania Jah Kimbute afariki dunia

Aliyekuwa mfalme wa Reggae Tanzania Jah Kimbute afariki dunia

Mikoani
Samwel Mleteni maarufu ‘Jah Kimbute’ amekutwa na mauti jioni ya jana Septemba 20 nyumbani kwake Msasani jijini Dar Kwa mujibu wa mke wake, mipango ya mazishi na taratibu nyingine zitajulikana leo baada ya ndugu ambao wengi wanaishi Lushoto, mkoani Tanga kukutana Amesema marehemu alikuwa akiishi na mwanae ambaye jana jioni alimkuta Jah Kimbute akiwa amefariki chumbani kwake Jah Kimbute alitamba sana katika anga ya muziki hadi kupelekewa kuitwa ‘Mfalme wa Reggae’ Tanzania miaka ya 80 akiwa na kundi lake la Roots and Culture lililokuwa na makazi yake jijini Dar
Miili ya watu 44 yaopolewa Mwanza, Tanzania, baada ya ajali ya kuzama kivuko

Miili ya watu 44 yaopolewa Mwanza, Tanzania, baada ya ajali ya kuzama kivuko

Mikoani
Miili ya watu 44 imeopolewa kwenye maji ya Ziwa Victoria baada ya kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kimebeba mamia ya abiria kuzama jijini Mwanza kaskazini magharibi mwa Tanzania. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela amesema kuwa, idadi ya watu waliofariki kwenye ajali hiyo imefikia 44 huku 37 wakiokolewa lakini hali ya baadhi yao ni mbaya na huenda idadi ya vifo ikaongezeka. Taarifa zaidi zinasema kuwa, juhudi za uokoaji ziliendelea mpaka majira ya saa mbili usiku hapo jana ambapo zoezi hilo lilisitishwa kutokana na hali ya giza ambayo ilikuwa kikwazo kutekeleza zoezi hilo. Aidha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amesema kuwa, zoezi hilo la uokoaji linatarajiwa kuendelea tena leo asubuhi. Mv. Nyerere Akizungumza na waandishi wa habari hapo jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishn
error: Content is protected !!