Michezo

Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar kikitumbuiza katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia

Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar kikitumbuiza katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia

Michezo
MSANII Saada Mohammed Bakari kutoka Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar, akitumbuiza kwa Wimbo wa Mpewa hapokonyeki katika Banda la Tanzania katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning, Jimbo la Guangxi Nchini China.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).  WASANII kutoka Zanzibar, wakitumbuiza kwa ngoma ya Kidumbaki katika Banda la Tanzania katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning, Jimbo la Guangxi Nchini China.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).  WASANII kutoka Zanzibar, wakitumbuiza kwa ngoma ya Kidumbaki katika Banda la Tanzania katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning, Jimbo la Guangxi Nchini China.(PICHA NA HAR
Wafungaji mabao bora England: Maurizio Sarri asema nyota wa Chelsea Eden Hazard anaweza kufunga mabao 40 msimu huu

Wafungaji mabao bora England: Maurizio Sarri asema nyota wa Chelsea Eden Hazard anaweza kufunga mabao 40 msimu huu

Michezo
Hazard anaongoza kwa ufungaji mabao Ligi ya Premia baada ya mechi tano kuchezwa Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard anaweza kufunga mabao 40 msimu huu na kujishindia tuzo ya mfungaji mabao bora Ligi ya Premia, kwa mujibu wa meneja wa klabu hiyo Maurizio Sarri. Hazard alifunga mabao matatu dhidi ya Cardiff Jumamosi na kuwawezesha The Blues kupata ushindi wa 4-1. Kufikia sasa amefunga mabao matano katika mechi tano zilizochezwa, moja kushinda mchezaji anayemfuata. Baada ya mechi hiyo ya Jumamosi, Sarri alisema Mbelgiji huyo huenda akawa ndiye mchezaji bora zaidi Ulaya. Alisema zamani alikuwa anaamini alikuwa miongoni mwa wachezaji bora zaidi Ulaya lakini kwa sasa anaamini huenda ndiye bora zaidi. "Tumezungumza naye na kumwambia anaweza kufunga mabao 40," alisema Sarri. "Kun...
Msanii Bongo Fleva akutwa ugangani live bila ya chenga

Msanii Bongo Fleva akutwa ugangani live bila ya chenga

Michezo
Mkali wa muziki wa singeli Dullah Makabila ameonekana akiwa katika mazingira ya ugangani huku picha na videos zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha akifanyiwa vitendo vinavyoashiria kuwa ni vya kishirikina. Miezi kadhaa nyuma mkali huyo wa wa singeli aliwahi kuzungumza na kusema kuwa anaamini imani za kishirikina katika kazi za muziki wake ili kufanikiwa na aliongezea kwa kusema kuwa asilimia kubwa ya wasanii nchini wanatumia ushirikina ili wafanikiwe katika muziki. Kutokana na picha hizo zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii mashabiki wamezidi kubaki na viulizo huku wengi wakiamini kuwa huenda akawa anafanya kiki kwaajili ya video ya ngoma yake mpya na wengine wakihisi kuwa ni kweli.     CHANZO: ZANZIBAR 24
Ukosefu wa fedha watajwa kufanya vibaya timu za Pemba

Ukosefu wa fedha watajwa kufanya vibaya timu za Pemba

Michezo
BAADHI ya klabu zilizoshiriki Ligi Kuu ya Zanzibar hatua ya nane bora kutoka Pemba na wadau wa wamesema, moja ya sababu kubwa iliyopelekea timu hizo kufanya vibaya msimu huu ni kutokana na ukosefu wa fedha unaoukabili klabu hizo. Zimesema hivi sasa ligi imekuwa na gharama kubwa, kuanzia maandalizi ya usajili na kuwaweka kambini wachezaji. Waliitaja sababu nyengine ni ukosefu wa udhamini katika ligi hiyo ambao pia ulichangia kwa kiasi kikubwa kwa timu za Pemba kufanya vibaya katika ligi hiyo. Mmoja wa viongozi wa Opec ya Pandani, Ali Omar ‘MECCO’, alisema, timu yao ilishindwa kuhimili mikimikiki ya ligi hiyo, kwa kutokuwa na fedha za kuwaweka wachezaji pamoja kambini. Ukitizama tokea unaanza usajili, fedha nyingi zinahitajika, hujacheza unahitaji fedha, sisi tulikuwa tunatok
Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar Wamtembelea Mwenyekiti wa ZFA Mstaaf Ali Ferej Tamim Nyumbani Kwake Shangani Zanzibar.

Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar Wamtembelea Mwenyekiti wa ZFA Mstaaf Ali Ferej Tamim Nyumbani Kwake Shangani Zanzibar.

Michezo
Katibu wa kamati ya mpito inayosimamia  masuala ya soka visiwani Zanzibar kwa sasa Khamis Abdallah Said akizungumza na aliyekuwa rais wa chama cha mpira wa miguu visiwanibZanzibar Ali Fereji wakati alipotembelea nyumbani kwake pamoja na waandishi mbali mbali wa michezo . Mwenyekiti wa Zamani wa Chama Cha Mpira Zanzibar ZFA Ali Ferej Tamim akizungumza na mwandishi wa habari za Michezo Zanzibar Ndg. Salu Vuai walipofika nyumbani kwake shangani kumtembelea na kumjulia hali yake. Waandishi wa habari za michezo Zanzibar wakimtembelea na kumjulia hali Mwenyekiti Mstaaf wa Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar ZFA Ali Ferej Tamim walipofika nyumbani kwake shangani Zanzibar.  
error: Content is protected !!