Jamii

Wakulima wa mpunga Wete Pemba, wana hofu ya mavuno

Wakulima wa mpunga Wete Pemba, wana hofu ya mavuno

Biashara & Uchumi, Jamii, Nyumbani
WAKULIMA wa mpunga bonde la Umwagiliaji maji Weni Wilaya ya Wete Pemba wamesema, wana hofu kubwa ya kukosa mavuno mazuri kwa msimu huu, kutokana na mitaro kuvujisha na kusababisha maji kuingia kwenye mashamba yao bila ya kiwango. Walisema kuwa, wanalima mara mbili kwa mwaka katika bonde hilo, ingawa kwa sasa miundombinu ya mitaro hiyo imechakaa, hivyo imesababisha mitaro hiyo kuvujisha maji, jambo ambalo litapelekea mpunga kuoza (kuharibika). Wakitoa malalamiko yao mbele ya Afisa Mdhamini Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Sihaba Haji Vuai, wakulima hao walisema wanahitaji kufanyiwa matengenezo katika mtaro huo, ili maji yapite kwa utaratibu unaohitajika. Walisema kuwa, tayari wameshafikisha malalamiko yao kwa Maafisa wa kilimo wanaofika katika bonde hilo ...
UN yatafakari kupunguza askari wake wa kulinda amani DRC

UN yatafakari kupunguza askari wake wa kulinda amani DRC

Jamii, Kimataifa
Huenda idadi ya askari wa Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO ikapunguzwa. Hayo yamedokezwa jana Alkhamisi na afisa wa ngazi za juu wa UN ambaye hakutaka kutaja jina lake ambaye anasisitiza kuwa, kupunguza idadi ya wanajeshi hao itakuwa ni hatua ya kwanza ya mchakato wa kukiondoa kikamilifu kikosi hicho cha kulinda amani nchini DRC. Kwa mujibu wa afisa huyo, UN inatathmini suala la kukiondoa kikamilifu nchini Kongo DR kikosi hicho chenye wanajeshi 16,000, baada ya kufanyika uchaguzi uliohitimisha uongozi wa Rais Joseph Kabila mwezi Disemba mwaka jana. Rais Kabila amekuwa akitoa mwito wa kuondolewa nchini humo askari hao wa kulinda amani wa UN, lakini mrithi wake Felix Tshisekedi amekuwa akisisitiz...
Msikiti mkubwa wenye uwezo wa kuingia kwa kutwa moja watu 63 elfu uliojengwa kwenye kilele cha jiji la Istanbul wafunguliwa kwa ajili ya ibaba

Msikiti mkubwa wenye uwezo wa kuingia kwa kutwa moja watu 63 elfu uliojengwa kwenye kilele cha jiji la Istanbul wafunguliwa kwa ajili ya ibaba

Jamii, Kimataifa, Updates
Msikiti wa Çamlıca uliojengwa kwenye kilele cha İstanbul umefunguliwa rasmi kwa ajili ya ibada. Msikiti huo ulioanza kujengwa tangu mwaka 2013 ambao umechukua miaka 6 kukamilika, adhana ya kwanza kutoka msikiti huo iliadhiniwa katika swala ya alfajiri. Wananchi wengi walivutiwa na kitendo cha mgombea wa urais wa jiji la Istanbul kupitia chama cha AK parti Binali Yıldırım kushiriki swala hio ya asubuhi kwenye msikiti huo mpya. Msikiti huo umejengwa kuwezesha watu 63 elfu kufanya ibada kwa mara moja. Ufunguzi rasmi wa msikiti huo utafanywa na rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan. Msikiti wa Çamlıca pamoja eneo la kufanyia ibada una makumbusho yenye ukubwa wa mita za mraba 11, galeria ya sanaa yenye ukubwa wa mita za mraba 500, maktaba yenye ukubwa mita za mr
Tanzia : Mwanahabari nguli Ephraim Kibonde afariki dunia

Tanzia : Mwanahabari nguli Ephraim Kibonde afariki dunia

Jamii, Mikoani, Updates
Mkuu wa mkoa wa Mwanza nchini Tanzania John Mongela ametoa taarifa za kufariki kwa mtangazi nguli Ephraim kibonde akisema  kifo chake kimetokana na kusumbuliwa na shinikizo la damu ambalo lilianza tangu akiwa mkoani Kagera alipokuwa  akishiriki katika maziko ya aliyekuwa mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa  Clouds Media Group Ruge Mutahaba. Uongozi wa Clouds nao umethibitisha hilo kwa kusema amefarikia dunia leo asubuhi ya Machi 7,2019. 
error: Content is protected !!