Jamii

Canada yamnyang’anya uraia wa fakhari Aung San Suu Kyi kwa jinai za serikali ya Myanmar

Canada yamnyang’anya uraia wa fakhari Aung San Suu Kyi kwa jinai za serikali ya Myanmar

Jamii, Kimataifa
Wawakilishi wa bunge la Canada baada ya kupita mwaka mmoja tangu kulipozuka jinai za kutisha za serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa Rohingya, hatimaye wamemnyang'anya uraia wa fakhari kiongozi wa chama tawala wa nchi hiyo, Aung San Suu Kyi. Alkhamisi ya jana wawakilishi wa bunge nchini Canada walipitisha kwa sauti moja pendekezo la kumnyang'anya mama huyo uraia huo, kutokana na hatua yake ya kukataa kulaani mauaji ya halaiki inayofanyiwa jamii ya wachache ambao ni Waislamu wa jamii ya Rohingya.  Mwaka 2007 Bunge la Canada lilimpatia uraia wa fakhari Aung San Suu Kyi wakati aliotunukiwa nishani ya amani ya Nobel akiwa jela nchini Myanmar. Kabla ya hapo maafisa wa uchunguzi wa Umoja wa Mataifa walikuwa wamesema kuwa, jeshi la serikali ya Myanmar limehusika katika jinai ya maua
Mahakama – India yaamua uzinzi sio uhalifu

Mahakama – India yaamua uzinzi sio uhalifu

Jamii, Kimataifa
Uzinzi siyo tena kosa la uhalifu nchini India kufuatia hukumu iliyo tolewa na mahakama ya juu ya nchi hiyo Alhamisi. Uamuzi wa Mahakama ya Juu hiyo umefutilia mbali sheria ya Uingereza ya kikoloni ambayo ilikuwa ina wabagua wanawake. Jopo la majaji watano wa mahakama ya juu kwa pamoja walitoa uamuzi kuwa kosa hilo la mtu kuwa na mahusiano na mwanamke mwengine nje ya ndoa bila ya ridhaa ya mumewe imepitwa na wakati na ina wanyang'anya wanawake uhuru wao. Uzinifu hauwezi na hautakiwi kuwa uhalifu,” Jaji Mkuu Dipak Misra amesema wakati akisoma hukumu hiyo. Mfanyabiashara Joseph Shine aliitaka mahakama hiyo kufutilia mbali sheria hiyo, kwa hoja ya kuwa ilikuwa inawabagua wanawake na haingii akilini. Katika uamuzi wake, mahakama hiyo imesema kuwa mahusiano nje ya
Watu 117 wamepoteza maisha ndani ya miezi mitano iliyopita kutokaan na mvua kubwa na mafuriko Nepal.

Watu 117 wamepoteza maisha ndani ya miezi mitano iliyopita kutokaan na mvua kubwa na mafuriko Nepal.

Jamii, Kimataifa
Watu 117 wamepoteza maisha ndani ya miezi mitano iliyopita kutokaan na mvua kubwa na mafuriko Nepal. Kulingana na ripoti ya wizara ya afya ya Nepal,watu 117 wamepoteza maisha huku wengine 183 wakiwa wamejeruhiwa baada  ya mvua kubwa kuanza kunyesha kuanzia mwezi Aprili mpaka Septemba. Maporomoko ya ardhi yametokea zaidi ya mara mia tatu huku mafuriko mafuriko yakiwa yametokea zaidi ya mara 80. Zaidi ya watu 2000 wameathiriwa na mafuriko hayo.
Ujasiriamali kwa wanawake isiwe sababu ya kwenda kinyume na mafundisho ya dini

Ujasiriamali kwa wanawake isiwe sababu ya kwenda kinyume na mafundisho ya dini

Biashara & Uchumi, Jamii, Nyumbani
WANAWAKE wa kiislamu nchini, ambao ni wajasiriamali, wameshauriwa kuyahifadhi maungo yao wakati wote, wanapokuwa kwenye shughuli zao, na sio kuyaacha wazi na wengine kufikiria kuwa, kufanya hivyo, ndio sahihi. Ushauri huo umetolewa na ustadhati Khadija Mohamed Hassan wa Mtambile, alipokuwa akizungumza na mwandishi wa habari hizi, juu ya ruhusa kwa wanawake kuijiingiza kwenye ujasiriamali na uzingatiaji wa maadili. Alisema, hakuna aya wala hadithi ambayo inamkataza mwanamke kujiingiza kwenye biashara yoyote halali, bali kinachotakiwa kutanguliwa ni kuulinda kwa kuuhifadhi mwili wake wakati wote. Alisema kujiingiza kwenye biashara kama za kuuza nazi, samaki, duka, uchongaji na hata kuwa dereva wa taxi, isiwe sababu kwa wanawake hao, kuyaweka wazi maungo yao. Ustadhati huyo al...
error: Content is protected !!