Biashara & Uchumi

Sisitizo la Russia na China kwa ajili ya kukabiliana na ubeberu wa sarafu ya Dola

Sisitizo la Russia na China kwa ajili ya kukabiliana na ubeberu wa sarafu ya Dola

Biashara & Uchumi
Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, Moscow na Beijing zimekusudia kutumia fedha zao za kitaifa katika miamala ya kibiashara, badala ya kutumia sarafu ya Dola ya Marekani, kwa kuzingatia mizozo iliopo kati ya Russia na nchi za Magharibi Rais wa Russia aliyasema hayo baada ya kukutana na Rais Xi Jinping wa China katika kikao cha kiuchumi cha mjini Vladivostok, Russia na kuongeza kuwa, Moscow kama ilivyo Beijing, inaunga mkono kwa dhati kutumiwa fedha zao za kitaifa katika mashirikiano yao ya kibiashara. Matamshi hayo yametolewa katika hali ambayo nchi za Magharibi na baada ya kuibuka mzozo wa Ukraine hapo mwaka 2014, ziliiwekea vikwazo vizito Russia. Aidha katika miezi ya hivi karibuni, serikali ya Marekani katika kutoa radiamali ya tuhuma za uingiliaji wa serikali ya Moscow kati
Uturuki yauza simu zake za kisasa katika mataifa 33 ulimwenguni

Uturuki yauza simu zake za kisasa katika mataifa 33 ulimwenguni

Biashara & Uchumi, Teknolojia
Shirika la utenegezaji  wa simu za kisasa la Uturuki General Mobil limefahamisha ya kwamba kwa sasa linauza simu zake katika mataifa 33 ulimwenguni. Mkurugenzi wa shirika hilo Sabahattin Yaman  amefahamisha Jumanne kuwa  shirika hilo limewekeza kiwango cha   milioini 100  za Lira  kwa ajili ya mradi huo mjini Istanbul. Shirika hilo linataraji kupanua soko lake na kufikia mataifa 45 kabla ya mwaka 2018 kumalizika. Hayo mkurugenzi wa shirika hilo ameyazungumza akiwa katika uzinduzi wa  toleo jipya lake la GM 9 Pro mjini Istanbul.
Makubaliano kati ya Uturuki na Umoja wa Afrika kuandaa  jukwaa la ushirikiano

Makubaliano kati ya Uturuki na Umoja wa Afrika kuandaa jukwaa la ushirikiano

Biashara & Uchumi
Jukwa na biashara la pamoja kati ya Uturuki na Umoja wa Afrika   katika biashara lina lengo la  kuwaweka pamoja  viongozi wa mashirika na makampuni ya Afrika na Uturuki. Uturuki na  Umoja wa Afrika  wameafikiana   Jumatatu  ushirikiano na kuandaliwa mkutano wa pili wa kibiashara  ambao unatarajiwa kufanyika ifikapo  Oktoba  mjini Istanbul. Balozi wa Uturuki nchini Ethiopia Fatih Ulusoy amesaini  makubaliano hayo  akimuakilisha waziri wa  biashara  wa Uturuki huku Umoja wa Afrika  ukiwakilishwa na Harrison Victor. Saini hiyo ya makubaliano  imesainiwa mjini Addis Ababa nchini Ethiopia. Ulusoy amesema kuwa  Uturuki ina lengo la kuwa na ushirikiano ulio na nguvu  na mataifa ya bara la Afrika na kuendelea kufahamisha kuwa  matumaini katika mkutano  huo wa pili  ni  kufikia  m
Viongozi wa Asia wakosoa sera za Trump

Viongozi wa Asia wakosoa sera za Trump

Biashara & Uchumi, Kimataifa
Rais wa Russia Vladimir Putin (kulia) na Rais wa China Xi Jinping (kushoto) wakipika wakati wa ziara yao ya mkutano wa kiuchumi wa nchi za Asia Mashariki EEF) katika maonyesho yanayoendelea pembeni huko mjini Vladivostok, Russia Septemba11, 2018. Viongozi wa nchi za Asia Mashariki wanao hudhuria mkutano wao wa Kiuchumi, EEF, mjini Vladivostok , Rashia, Jumatano, wamekosoa vikali mtindo wa sera ya Rais Trump wa Marekani ya kufunga masoko yao na kueleza ni hatari kubwa kwa uchumi wa Dunia. Viongozi hao pia wametoa wito wa kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati yao. Akizungumza katika kikao cha ufunguzi wa mkutano huo wa tatu unaohudhuriwa pia na Rais wa China Xi Jingping na Waziri Mkuu wa Japan Shinto Abe, Rais wa Rashia Vladimir Putin amesema kuendelea kw...
Junker: Ushirikiano mpya wa AU na EU kubuni nafasi milioni 10 za ajira

Junker: Ushirikiano mpya wa AU na EU kubuni nafasi milioni 10 za ajira

Biashara & Uchumi, Kimataifa
Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya amesema EU inapania kuzindua ushirikiano mpya kati yake na Umoja wa Afrika utakaosababisha kubuniwa mamilioni ya nafasi za ajira. Katika hotuba yake ya kila mwaka katika Bunge la Umoja wa Ulaya hii leo, Jean-Claude Juncker amesema umoja huo unaandaa fremu ya kuvutia uwekezaji mkubwa barani Afrika. Amesema, "Hii leo, tunapendekeza kuundwa muungano mpya, utakaohakikisha kuwa kuna mchakato endelevu wa kustawishwa uwekezaji na kubuniwa nafasi za ajira baina ya Afrika na Ulaya, mkakati ambao utapelekea kuundwa nafasi milioni 10 za ajira barani Afrika katika kipindi cha miaka mitano ijayo pekee." Amebainisha kuwa, "Afrika haihitaji tena misaada, bali inahitaji ushirikiano wa kweli na uadilifu, na sisi Ulaya tunahitaji mshirika wa namna hii pia." Wa
error: Content is protected !!