Biashara & Uchumi

Serikali imeshauriwa kuanzisha mazungumzo ya kitaifa kujadili kuongezeka kwa deni ili kuweza kufikia ufumbuzi juu ya sakata la ushuru wa asilimia 16 uliowekwa kwenye bidhaa za mafuta nchini Kenya.

Serikali imeshauriwa kuanzisha mazungumzo ya kitaifa kujadili kuongezeka kwa deni ili kuweza kufikia ufumbuzi juu ya sakata la ushuru wa asilimia 16 uliowekwa kwenye bidhaa za mafuta nchini Kenya.

Biashara & Uchumi
Serikali imeshauriwa kuanzisha mazungumzo ya kitaifa kujadili kuongezeka kwa deni ili kuweza kufikia ufumbuzi juu ya sakata la ushuru wa asilimia 16 uliowekwa kwenye bidhaa za mafuta nchini Kenya. Mwandishi wa idhaa ya Kiswahili VOA anaripoti kuwa deni hilo hivi sasa limefikia takriban shilingi trilioni tano ambazo ni sawa na dola za Marekani bilioni 49. Akitoa ushauri huo wa serikali kufanya mazungumzo Jumatatu, Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amesema kuwa mikopo hii kutoka mataifa ya kigeni ni mzigo mkubwa kwa raia wa Kenya. Wakati huohuo mjadala unaendelea Kenya, wananchi wakinong’onezana kuhusu deni la nchi kutoka mataifa ya Kigeni, hususan Uchina na iwapo Kenya inajiingiza katika mtego wa madeni ya China. Akiwa kwenye mkutano kati ya viongozi wa bara la Afr
MAMALAKA ya Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), imetiliana saini makubaliano ya mkopo wa kuipatia Mamlaka ya maji Zanzibar (ZAWA) shilingi milioni 500 ili kuiwezesha kufanikisha ufungaji wa mita za kawaida zipatazo 5,000.

MAMALAKA ya Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), imetiliana saini makubaliano ya mkopo wa kuipatia Mamlaka ya maji Zanzibar (ZAWA) shilingi milioni 500 ili kuiwezesha kufanikisha ufungaji wa mita za kawaida zipatazo 5,000.

Biashara & Uchumi
MAMALAKA ya Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), imetiliana saini makubaliano ya mkopo wa kuipatia Mamlaka ya maji Zanzibar (ZAWA) shilingi milioni 500 ili kuiwezesha kufanikisha ufungaji wa mita za kawaida zipatazo 5,000. Hatua hiyo inakwenda sambamba na Mamlaka hiyo kuisaidia ZAWA kiasi cha shilingi milioni 500 kwa ajili ya kufanikisha mradi wa usambazaji maji katika jimbo la Kikwajuni. Hafla Hiyo ya utiaji saini imefanyika katika Ofisi za ZURA Maisara, ambapo ZURA imewakilishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Haji Kali Haji, huku upande wa ZAWA ukiwakilishwa na Mkurugenzi Mkuu, Mussa Ramadhan Haji. Akizungumza na wanadishi wa Habari, Mkurugenzi Mkuu wa ZURA Haji kali Haji, alisema hatua hiyo ni utekelezaji wa majukumu ya msingi ya ZURA katika kusimamia shughuli za ...
Serikali yaipa tano ‘Jufe Film Production’

Serikali yaipa tano ‘Jufe Film Production’

Biashara & Uchumi, Nyumbani
WANAFUNZI wa skuli ya Kangagani wakionyesha ngonjera ka ka kilele cha juma la elimu ya watu wazima lililofanyika ka ka kituo cha elimu Mbadala Wingwi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) NA ABDI SULEIMAN, PEMBA WIZARA ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa kikundi cha sanaa cha ‘Jufe Filam Production’, ni moja ya vikundi ambavyo vimeweza kuipatia sifa kubwa kisiwa cha Pemba kupitia kazi yao ya sanaa. Akizungumza na wasanii wa kikundi hicho mjini Wete, Afisa mdhamini wa Wizara hiyo Fatma Hamad Rajab, alisema sasa kazi iliyobakia ni ni kuvifanya vikundi vyengine navyo viweze kupata mafanikio. Alisema hali hiyo imekuja kutokana na kazi zao wanazozifanya kuwa na kiwango kikubwa ambazo zinakwenda na wakati hasa katika kipindi cha kuelekea kutafuta soko la sanaa nchini. Ai
Mambo 10 ya kuzingatia kabla ya kuchagua Benki

Mambo 10 ya kuzingatia kabla ya kuchagua Benki

Biashara & Uchumi
Benki ni taasisi muhimu ambayo siyo rahisi mtu kukwepa kuitumia kwa njia moja au nyingine. Kuhifadhi au kusafirisha pesa kwa njia za zamani kumepitwa na wakati; sasa ni wakati wa kutumia mifumo salama na ya kisasa. Kwa kuwa benki ni taasisi muhimu, huna budi kuchukua hatua kadhaa ili kupata benki nzuri kwa ajili ya shughuli zako za kifedha. Ikiwa unataka kupata benki nzuri, basi fahamu mambo 10 unayopaswa kuzingatia wakati wa kuchagua benki kwa ajili ya matumizi yako. 1. Usalama wa pesa zako Kwa kawaida kila benki husimamiwa na benki kuu ya nchi ili kuhakikisha usalama wa fedha za wateja. Hata hivyo kuna baadhi ya benki huanzishwa na kuendeshwa kinyemela bila kuwa chini ya benki kuu. Ni muhimu kuhakikisha benki unayotaka kuitumia imesajiliwa na inajiendesha kwa kuzingatia sh...
Uturuki, Urusi na Iran zaafikiana kuacha kutumia sarafu  ya Marekani

Uturuki, Urusi na Iran zaafikiana kuacha kutumia sarafu ya Marekani

Biashara & Uchumi
Mkurugenzi mkuu wa benki  kuu nchini Iran  Abdel Nasser Himmeti  asema kuwa  Uturuki,  Iran na Urusi zimeafikiana kuacha kutumia sarafu ya Marekani na badala yake kutumia za ndani katika biashara kati ya mataifa  hayo matatu ambayo  ni washirika. Katika mkutano na waandishi  wa habari Himmeti amefahamisha kuwa katika siku  zijazo  viongozi katika benki kuu katika mataifa hayo  wataweka wazi kuhusu vipengele ambavyo  vitazingatiwa  utekelezaji wa kuanza kutumia sarafu za ndani na sio sarafu ya Marekani Dola. Mkurugenzi huyo amezungumzia  mkutano uliofanyika Septemba 7 kati ya rais wa Uturuki , Urusi na Iran kuhusu Syria mjini Tehran nchini Iran.
error: Content is protected !!