Ajira

Teknolojia inavyofanikisha huduma kwa mama mjamzito Tanzania

Teknolojia inavyofanikisha huduma kwa mama mjamzito Tanzania

Ajira, Biashara & Uchumi, Teknolojia
Kwa mara ya kwanza, teknolojia ya 'block chain' imefanikisha huduma kwa mama mjamzito kujifungua mtoto ambaye amesajiliwa chini ya mfumo huo katika mradi wa afya unaodhaminiwa na serikali ya Ireland. Habari hii imeripotiwa na vyombo vya kimataifa, huku wataalam wa Afya wakieleza teknolojia hii inavyoweza kusaidia katika mtu kupata huduma za kiafya kwa urahisi na kwa ufanisi. Block chain ikiwa ni huduma inayohusika na kutoa huduma zozote zile za kibiashara au kusaidia jamii kwa njia ya mtandao au kidijitali, ina uwezo wa kutunza kumbukumbu ya mfumo ya kifedha maarufu kama 'bitcoin na cryptocurrencies'. Dr.Victor Kiyaruzi kutoka hospitali ya Kilema, Moshi kaskazini mwa Tanzania anasema kwa upande wao wanatoa huduma hii ili kuwasaidia watu wenye matatizo ya afya kumf...
Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ) imetangaza nafasi za kazi

Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ) imetangaza nafasi za kazi

Ajira, Mikoani, Nyumbani
The People’s Bank of Zanzibar Limited (PBZ) was established in June 30, 1966 under Cap.153 of the Zanzibar Companies Decree. The primary function was to carry on the business of commercial banking activities in all of its branches and Departments within Tanzania. The Bank is currently offering Conventional and Islamic banking services in her branches in Zanzibar, Dar es Salaam and Mtwara, with power to receive deposits, invest, lend money and other related commercial banking. The Bank is currently undertaking expansion of her services therefore automatically demand the human capital with suitable skills and qualification to fill the following vacant posts: 1.0 POST:  BANK OFFICER DUTY STATION:          Mtwara Branches (Conventional/Islamic)               –           4
Learn & Donate Internship Program

Learn & Donate Internship Program

Ajira, Teknolojia, Updates
Shaibu Foundation is the non-profit firm based in Tanzania with main object of providing the highest quality of religious, educational, and social services to the community in accordance with the teachings of the Holy Quran and traditions of Prophet Muhammad (peace be upon him). Through our project known as "LEARN & DONATE" We are proud to announce "Learn & Donate Internship Program" Learn & Donate Internship Program is designed to provide exceptional students interested in a career in ICT, Business and Media with a unique opportunity to learn firsthand about the diverse business operations. Those selected will gain invaluable work experience through challenging project assignments, information sessions hosted by Shaibu Foundation senior management, and various additi
JOB VACANCY – Coordinator TADIO

JOB VACANCY – Coordinator TADIO

Ajira
JOB VACANCY Re-advertisement             JOB TITLE:                          Coordinator TADIO LOCATION:                         Dar es Salaam REPORTING LINE:           Board DATE OF ADVERT            20 October 2018   Job Brief We are seeking for an experienced Coordinator to nurture a young and strong media network that promotes community media in Tanzania by increasing awareness to the public and by fostering access to information to remote communities through community and local radio’s. A/ Main roles and responsibilities The Coordinator of TADIO shall have all his duties agreed with the Board and will report directly to them. His main responsibilitieswill be the following: Overall Supervision, Coordination Leadership & Management of TADIO an
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI OFISI YA MAKAMO WA PILI WA RAISI

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI OFISI YA MAKAMO WA PILI WA RAISI

Ajira
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais kama ifuatavyo:- IDARA YA MAZINGIRA UNGUJA: 1. Afisa Mazingira Daraja la II “Nafasi 1” Unguja Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Sayansi ya Bahari au Mazingira au Usimamizi wa Maliasili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar 2. Afisa Mipango Daraja la II “Nafasi 1” Unguja Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Mipango au Uchumi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. 3. Wasaidizi Afisa Doria Daraja la III “Nafasi 10” Unguja Sifa za Muombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Elimu ya Sekondari na kupata
error: Content is protected !!