Ajira

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

Ajira
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Fedha na Mipango kama ifuatavyo:- IDARA YA UENDESHAJI NA UTUMISHI: 1. Afisa Utumishi Daraja la II “Nafasi 3” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Rasilimali Watu au Utawala kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar 2. Dereva Daraja la III “Nafasi 2” Sifa za Muombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Elimu ya Sekondari na kupata mafunzo ya Udereva • Awe na leseni hai kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. 3. Mtunza Kumbukumbu Daraja la III “Nafasi 1” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Stashahada ya Kutunza Kumbukumbu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na S
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA HUDUMA ZA MAKTABA

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA HUDUMA ZA MAKTABA

Ajira
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Shirika la Huduma za Maktaba Unguja kama ifuatavyo:- 1. Ulinzi Daraja la III “Nafasi 1” Unguja Sifa za Muombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Elimu ya Sekondari na kupata mafunzo ya Ulinzi JKU au JKT. 2. Taarishi Daraja la III “Nafasi 1” - Unguja Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu elimu ya Sekondari na kupata cheti Jinsi ya Kuomba: • Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:- KATIBU, TUME YA UTUMISHI SERIKALINI, S. L. P 1587 - ZANZIBAR. • Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha
Nafasi ya Kazi: Open University of Tanzania – Kituo cha Pemba

Nafasi ya Kazi: Open University of Tanzania – Kituo cha Pemba

Ajira
TANGAZO Nafasi ya Kazi: Open University of Tanzania – Kituo cha Pemba inatangaza nafasi 1 ya ajira kwa wakaazi wa Pemba na Tanzania kwa ujumla. SIFA ZA MUOMBAJI: Awe amehitimu ngazi ya “Master” katika fani ya Elimu yaani “Master in Education” JINSI YA KUOMBA: Maombi yatumwe kwa barua pepe ya drcpemba@out.ac.tz Au wasiliana nasi kwa simu namba: 0777424767   MWISHO WA KUTUMA MAOMBI: Haraka iwezekanavyo
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ARDHI, NYUMBA MAJI NA NISHATI ZANZIBAR

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ARDHI, NYUMBA MAJI NA NISHATI ZANZIBAR

Ajira
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati kama ifuatavyo:- 1.Mhandisi Ujenzi (Civil Engineers) Daraja la II “Nafasi 3” – Unguja “Nafasi 2 Pemba” Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Muhandisi Ujenzi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. 2.Msanifu Majengo (Architect Building) Daraja la II “Nafasi 2” -Unguja na “Nafasi 2” - Pemba Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Msanifu Majengo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar 3.Mthamini Majengo (Qualtity Surveyor) Daraja la II “Nafasi 1” – Unguja na “Nafasi 1” - Pemba Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •
error: Content is protected !!