Ajira

Nafasi za kazi wizara ya habari, utalii na mambo ya kale

Nafasi za kazi wizara ya habari, utalii na mambo ya kale

Ajira
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale kama ifuatavyo:- IDARA YA HABARI MAELEZO – PEMBA 1.Mwandishi wa Habari Daraja la II “Nafasi 2” Pemba Sifa za Waombaji:•Awe ni Mzanzibari.•Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uandishi wa Habari kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. 2.Mlinzi Daraja la III “Nafasi 1”  Sifa za Waombaji:•Awe ni Mzanzibari.•Awe amemaliza elimu ya Sekondari.•Awe amepata mafunzo ya Ulinzi (Mgambo au JKU au JKT) IDARA YA MAKUMBUSHO NA MAMBO YA KALE – PEMBA 3.Mhudumu Daraja la III “Nafasi 1” Sifa za Waombaji:•Awe ni Mzanzibari.•Awe amemaliza elimu ya Sekondari. Jinsi ya Kuomba:•Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani
Nafasi za kazi kwa ofisi ya Rais utumishi wa umma na utawala bora na tume ya kurekebisha sheria zanzibar

Nafasi za kazi kwa ofisi ya Rais utumishi wa umma na utawala bora na tume ya kurekebisha sheria zanzibar

Ajira
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Ofisi ya Tume ya Kurekebisha Sheria kama ifuatavyo:- OFISI YA RAIS UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA: 1.Dereva Daraja la III “Nafasi 3”  Sifa za Waombaji:•Awe ni Mzanzibari.•Awe amehitimu Elimu ya Sekondari na kupata Cheti cha Udereva na leseni hai kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. OFISI YA AFISA MDHAMINI OFISI YA RAIS, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA – PEMBA: 1.Katibu Muhtasi Daraja la III “Nafasi 1”  Sifa za Waombaji:•Awe ni Mzanzibari.•Awe amehitimu ya Stashahada katika fani ya Ukatibu Muhtasi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar TUME YA KUREKEBISHA SHERIA: 1.Mhudum
Nafasi za kazi wizara ya kazi uwezeshaji wazee wanawake na watoto

Nafasi za kazi wizara ya kazi uwezeshaji wazee wanawake na watoto

Ajira
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto kama ifuatavyo:- 1.Afisa Vyama vya Ushirika Daraja la III “Nafasi 5”  Sifa za Waombaji:•Awe ni Mzanzibari.•Awe amehitimu ya Shahada ya Kwanzakatika fani ya Biashara au Uhasibu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar 2.Afisa Takwimu Daraja la III “Nafasi 1”  Sifa za Waombaji:•Awe ni Mzanzibari.•Awe amehitimu ya Stashahada katika fani ya Takwimu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar 3.Mhudumu Daraja la III “Nafasi 2  Sifa za Waombaji:•Awe ni Mzanzibari.•Awe amehitimu Elimu ya Sekondari  Jinsi ya Kuomba:• Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:- KATIBU
Teknolojia inavyofanikisha huduma kwa mama mjamzito Tanzania

Teknolojia inavyofanikisha huduma kwa mama mjamzito Tanzania

Ajira, Biashara & Uchumi, Teknolojia
Kwa mara ya kwanza, teknolojia ya 'block chain' imefanikisha huduma kwa mama mjamzito kujifungua mtoto ambaye amesajiliwa chini ya mfumo huo katika mradi wa afya unaodhaminiwa na serikali ya Ireland. Habari hii imeripotiwa na vyombo vya kimataifa, huku wataalam wa Afya wakieleza teknolojia hii inavyoweza kusaidia katika mtu kupata huduma za kiafya kwa urahisi na kwa ufanisi. Block chain ikiwa ni huduma inayohusika na kutoa huduma zozote zile za kibiashara au kusaidia jamii kwa njia ya mtandao au kidijitali, ina uwezo wa kutunza kumbukumbu ya mfumo ya kifedha maarufu kama 'bitcoin na cryptocurrencies'. Dr.Victor Kiyaruzi kutoka hospitali ya Kilema, Moshi kaskazini mwa Tanzania anasema kwa upande wao wanatoa huduma hii ili kuwasaidia watu wenye matatizo ya afya kumf...
error: Content is protected !!