Boti iliyotengenezwa kwa takataka za plastiki yawasili bandari ya Wete


BOTI iliyotengenezwa kwa takataka za plastiki ikiwa na baadhi ya watalii ikiwasili katika bandari ya wete ikitokea Mombasa nchini Kenya,

Katrina Elleke kutoka nchini Jamaica akiwafundisha wanafunzi na baadhi ya viongozi waliofika bandarini Wete kwa ajili ya kuwapokea namna ya kuisarifu chupa ya plastic na kufanya kamba,
error: Content is protected !!