BOT Yatoa Elimu ya Utunzaji na Kuithamini Fedha ya Taifa Kwa Wananchi Kisiwani Pemba.

MENEJA Msaidi Idara ya Mawasiliano kwa Umma Kutoka Benk Kuu ya Tanzania  (BOT) Victoria Msima, akizungumza na watendaji mbali mbali wa serikali wakiwemo Masheha, Madiwani, Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kaskazini Pemba, juu ya umuhimu wa kuitunza na kuithamini fedha ya Taifa
error: Content is protected !!