Author: Editor-in-Chief

Mchungaji ashambuliwa na majambazi, azuia risasi 40 kupenya mwilini mwake

Mchungaji ashambuliwa na majambazi, azuia risasi 40 kupenya mwilini mwake

Kimataifa
David Elijah, anayetajwa kuwa mmoja miongoni mwa wachungaji vijana wenye utajiri Mkubwa nchini Nigeria anayesalisha katika Kanisa la Grace and Power Prophetic Ministry International, anusurika kifo baada ya kushambuliwa kwa risasi akiwa njiani kuelekea kanisani. Mchungaji David siku ya Ijumaa Septemba 7, 2018 akiwa mjini Awka, Anambra huko Nigeria alikuwa anaenda kanisani kwake akiwa kwenye gari alivamiwa na majambazi waliokuwa na silaha za moto na kuanza kumfyatulia risasi. Gari hilo lilitobolewa karibia lote kwa risasi lakini mpaka maaskari wanafika eneo la tukio, walimkuta mchungaji David Fulana yake ikiwa yenye matundu ya risasi huku mwili wake ukiwa haujajeruhiwa hata kidogo. Hata hivyo, maaskari hao walimkamata kwa mahojiano zaidi huku wakitahamaki tukio hilo kwamba amewezaj
Maofisa wa polisi katika Kaunti ya Kirinyaga wanawashikilia wanandoa Mary Wambui na mumewe Joseph Maina ambao ni wazee wa kanisa kwa madai ya kuiba mali za kanisa zenye thamani ya Sh300,000.

Maofisa wa polisi katika Kaunti ya Kirinyaga wanawashikilia wanandoa Mary Wambui na mumewe Joseph Maina ambao ni wazee wa kanisa kwa madai ya kuiba mali za kanisa zenye thamani ya Sh300,000.

Kimataifa
Maofisa wa polisi katika Kaunti ya Kirinyaga wanawashikilia wanandoa Mary Wambui na mumewe Joseph Maina ambao ni wazee wa kanisa kwa madai ya kuiba mali za kanisa zenye thamani ya Sh300,000. Wawili hao ambao ni washirika wa kanisa la Seventh Day Adventist (SDA) tawi la Kang’aru walipanga njama ya wizi na kufanikiwa kuiba mali hizo na kuficha nyumbani kwao wakingojea kutafuta soko. Kwa mujibu wa Mkuu wa polisi wa eneo hilo, Hillary Mwaniki amesema kwamba wanandoa hao walitekeleza wizi huo usiku wa kuamkia leo Jumatatu. Wanandoa hao wanadaiwa kuiba viti 64, kompyuta 1 na vipaza sauti 3, mali ambazo zilikutwa zimefichwa nyumbani kwao. “Inaaminika kuwa wawili hao walishirikiana na mwanamume mwingine ambaye kwa sasa yupo mafichoni walitekeleza wizi huo usiku wa manane baada ya kuv
Al-Shabaab yadai kuhusika na mlipuko Mogadishu uliouwa 6

Al-Shabaab yadai kuhusika na mlipuko Mogadishu uliouwa 6

Kimataifa
Maafisa wa serikali mjini Mogadishu, mji mkuu wa Somalia, wanasema bomu liliripuka katika jengo la makao makuu ya wilaya na kuuwa watu wasio pungua sita na kujeruhi wengine 16. Mlipuko huo ulikuwa umelenga makao makuu ya wilaya ya Hodan huko Mogadishu. Video iliyochukuliwa kwa kutumia simu kwenye eneo hilo inaonyesha wingu kubwa linalotokana na mlipuko ambao ulifika juu sana hewani. Walioshuhudia wamesema mlipuko huo Jumatatu na kusababisha uharibifu mkubwa katika jengo la makao hayo makuu. Afisa wa polisi Ibrahim Mohamed ameliambia shirika la habari la Ufaransa AFP, “Mlipuko huo ni mkubwa.” Kikundi cha wapiganaji wa al-Shabaab kimedai kuhusika na shambulizi hilo kwa kutuma ujumbe kupitia wenye akaunti yao ya mitandao ya jamii. Hii ni mara ya pili kikundi hicho
Mambo 10 ya kuzingatia kabla ya kuchagua Benki

Mambo 10 ya kuzingatia kabla ya kuchagua Benki

Biashara & Uchumi
Benki ni taasisi muhimu ambayo siyo rahisi mtu kukwepa kuitumia kwa njia moja au nyingine. Kuhifadhi au kusafirisha pesa kwa njia za zamani kumepitwa na wakati; sasa ni wakati wa kutumia mifumo salama na ya kisasa. Kwa kuwa benki ni taasisi muhimu, huna budi kuchukua hatua kadhaa ili kupata benki nzuri kwa ajili ya shughuli zako za kifedha. Ikiwa unataka kupata benki nzuri, basi fahamu mambo 10 unayopaswa kuzingatia wakati wa kuchagua benki kwa ajili ya matumizi yako. 1. Usalama wa pesa zako Kwa kawaida kila benki husimamiwa na benki kuu ya nchi ili kuhakikisha usalama wa fedha za wateja. Hata hivyo kuna baadhi ya benki huanzishwa na kuendeshwa kinyemela bila kuwa chini ya benki kuu. Ni muhimu kuhakikisha benki unayotaka kuitumia imesajiliwa na inajiendesha kwa kuzingatia sh...
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ARDHI, NYUMBA MAJI NA NISHATI ZANZIBAR

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ARDHI, NYUMBA MAJI NA NISHATI ZANZIBAR

Ajira
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati kama ifuatavyo:- 1.Mhandisi Ujenzi (Civil Engineers) Daraja la II “Nafasi 3” – Unguja “Nafasi 2 Pemba” Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Muhandisi Ujenzi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. 2.Msanifu Majengo (Architect Building) Daraja la II “Nafasi 2” -Unguja na “Nafasi 2” - Pemba Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Msanifu Majengo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar 3.Mthamini Majengo (Qualtity Surveyor) Daraja la II “Nafasi 1” – Unguja na “Nafasi 1” - Pemba Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •
error: Content is protected !!