Tupo katika majaribio ya mitambo yetu

Wadau wetu wa Pemba Live,

Tunawataarifu kuwa tupo katika majaribio ya mitambo yetu ya utangazaji kwa njia ya kisasa zaidi, hivi karibuni utaweza kusikiliza radio yetu ya Pemba Live Radio ukiwa hapa hapa nyumbani na kote duniani.

Unaweza kusikiliza kwa njia ya mtandao popote ulipo. Pia usisahau kutoa maoni/ushauri katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii.

ANGALIZO: Hatujaanza matangazo rasmi, tunafanya majaribio ya mitambo yetu na usikivu kwa wasikilizaji wetu.

Majaribio ya awali ni kuanzia tarehe 22/12/2019 hadi 28/12/2019. Huku tukiendelea na taratibu nyengine . Tutakuwa tunawapa updates zaidi kwa kupitia mitandao yetu, In Shaa Allah

Tutarudi hivi karibuni,