
Taarifa Kwa Umma: MIA imesikitishwa na mtandao wa zombietime.com unaoukashifu Uislamu
Taarifa Kwa Umma
Moyo Islamic Academy ikiwa ni taasisi ya Kiislamu imesikitishwa na mtandao wa zombietime.com unaoukashifu Uislamu kwa kuweka picha za Mtume_Muhammad (S.A.W).