SHINDANO LA UANDISHI WA MAKALA

Shirika la Posta Tanzania linapenda kuwatangazia waandishi wa habari kuwa limeandaa shindano la uandishi wa makala ambalo litashirikisha waandishi wa makala kutoka vyombo vya habari pamoja na wanafunzi wa vyuo vya uandishi wa habari Tanzania katika msimu wa mwisho wa mwaka 2019.

 

Bofya hapa kwa maelezo zaidi