Thursday, October 6
Shadow

PICHA: Shaibu Foundation yatembelea maonyesho ya vitabu Maktaba Kuu Pemba

Raisi wa taasisi ya Shaibu Foundation Nd. Mustafa Moyo alipotembelea maonyesho ya vitabu yalioandaliwa na Maktaba Kuu Pemba katika kuadhimisha sherehe za Elimu Bila Malipo

 

 

Mratibu/Msaidizi Mkutubi Mkuu Maktaba Kuu Pemba Bw. Mwache M. Bakari akiwa katika majukumu yake