Mhe Shamsi Vuai Aongoza Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe Shamsi Vuai Nahodha akizungumza na kufungua Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo Cha Kiislamu Kiuyu Micheweni Pemba.

CHANZO: ZANZINEWS

error: Content is protected !!