Magaidi watano wajisamilisha katika operesheni dhidi ya ugaidi Uturuki

Magaidi watano wajisamilisha  katika operesheni dhidi ya  ugaidi Uturuki

Magaidi watano wajisalimisha na wengine wapatao 76 waangamizwa na jeshi la Uturuki katika operesheni ilioendeshwa Şırnak na Mardi kwa muda wa wiki moja.

Kulingana na taarifa zizlitolewa na makao makuu ya jeshi la Uturuki ni kwamba magaidi wanne wa kundi la PKK wametoroka katika ngome zoa Kaskazini mwa Irak  wameonekana wakisalimisha katika jeshi la Uturuki Silapi Şırnak .

Vilipuzi vilivyokuwa katika maficho ya wanamagmbo wa PKK vimelamatwa katika eneo la  Guçlukonak.

Katika eneo  moja Şırnak watuhumiwa 16 wakiwemo  wanawake watatu  kutoka Ufaransa wamewekwa baada ya operesheni dhidi ya wanamgmbo wa PKK/PYD.

error: Content is protected !!