Sunday, July 3
Shadow

MAFUNZO & FURSA ZA SCHOLARSHIP : KUSOMA KWA NJIA YA MTANDAO, HURIA NA MASAFA

Shaibu Foundation imeandaa mafunzo ya siku moja kuhusiana na jinsi gani ya kusoma kwa njia ya mtandao, huria na masafa, pamoja na jinsi gani ya kupata scholarship kutoka chuo kikuu huria cha kimataifa (International Open University – IOU)

ANGALIZO:

  1. Walimu wote walioshiriki mafunzo ya elimu mtandao yalioandaliwa na taasisi ya Shaibu Foundation wameshasajiliwa moja kwa moja, hivyo hawatalazimika kujaza fomu hii.

 

  1. Mafunzo haya yanatolewa BURE, hivyo hakuna malipo kwa washiriki. Mshiriki ajiandae na gharama za mtandao, nauli kwa wakaazi wa chake.

 

  1. Mafunzo yatatolewa kwa njia ya mtandao, hivyo mshiriki atalazimika ku-download application ya “Microsoft Teams” na kufahamu jinsi ya kushiriki mafunzo kwa njia mtandao bofya video hapo chini..

 

  1. Kama utakuwa na maswali au unahitaji ufafanuzi zaidi, basi usisite kuwasiliana nasi kwa barua pepe ya info@sfoundationtz.org

 

  1. Pia tutatoa maelekezo jinsi ya kuomba “scholarship” za chuo cha International Open University. In Shaa Allah

 

KUSHIRIKI MAFUNZO HAYA BOFYA HAPA