Korea Kaskazini yatishia kufuta mkutano wake wa kihistoria unaotarajiwa kufanyika Juni

Korea Kaskazini yatishia kufuta mkutano wake wa kihistoria unaotarajiwa kufanyika JuniKorea Kaskazini imetishia kufuta mkutano na Marekani kufuatia mazoezi ya kijeshi  yanayoendelea  baina ya Marekani na Korea Kusini. Marekani kwa upande wake imefahamisha kuelea na maandalizi ya mkutano huo.

Mkutano baina ya rais wa Marekani DonaldTrump na rais wa KoreaKaskazini Kim Jong Un unatarajiwa kufanyika  Juni 16.

Korea Kaskazini imefuta mkutano wake na Korea Kusini uliokuwa unatarajiwa pia kufanyika Jumatano  Mei 16 kufuatia mazoezi hayo ya kijeshi kwa ushirikiano na Marekani.

error: Content is protected !!