KALI YA MWAKA

As Salaam A’laykum,

Hii ni kuwataarifu wateja wetu na umma kwa ujumla kwamba;

Kwa kusherehekea siku ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammah (S.A.W). Kampuni ya Moyo Media tunatoa punguzo la 50% kwa bidhaa au huduma utakayo nunua kuanzia tarehe 29/10/2019 hadi 10/11/2019.

Imetolewa na:

Uongozi, Kampuni ya Moyo Media

============

This is to inform our clients and Public in General:

In celebrating the Prophet Muhammad’s Birthday (PBUH). Moyo Media Co. Ltd is offering a 50% discount on the product or service you will buy from 29/10/2019 to 10/11/2019.

 

By:

Management, Moyo Media Co. Ltd

=========================