The Land Transport Regulatory Authority (LATRA)
Dar-es-salaam, Tanzania
Posted 2 days ago
Mwenyeji Wako Ukija Pemba
Pemba connect ni gazeti mtandao ambalo lilianzishwa mnamo mwezi wa 3 , 2010.
Madhumuni Makuu:
1. Kuipasha dunia kuhusiana na matukio yanayotekea Zanzibar
2. Kuitangaza Zanzibar , kimataifa .
3. Kuleta mabadiliko katika ulimwengu wa habari na Mawasiliano
Pemba Connect inaweza kupatikana kupitia www.pembaconnect.blogspot.com
Na Pemba Live ni mtandao ambao ulisajiliwa tarehe 16 January, 2015 kama jina la biashara chini ya sheria no: 168 ya Zanzibar na kupatiwa usajili namba 25/2015
Madhumuni Makuu:
Na Pemba live inaweza kupatikana kupitia anuani ya www.pembalive.info
Baada ya kukaa vikao tofauti vya Bodi ya Ushauri ya kampuni kwa lengo la kuboresha huduma na kutafuta jina jipya la gazeti mtandao la Pemba Connect, Uongozi wa kampuni tumeamua kuunganisha mitandao yetu hii miwili ya Pemba Connect na Pemba Live na kuunda kitu kimoja.
Hivyo leo tarehe 09/12/2017, Tunatangaza rasmi kwamba “Pemba Connect itajulikana kama Pemba Live, na huduma zote zilizokuwa zikitolewa na mitandao yetu hii zitapatikana kwa kupitia mtandao mmoja wa www.pembalive.info”