Contact Us

Listing Details

CRDB Plc

CRDB Plc

Benki ya CRDB ni benki ya kiafrika na inayoongoza kutoa huduma za kifedha nchini Tanzania, na kwa sasa huduma hizo zinatapatikana nchini Burundi na Afrika Mashariki kwa kushirikiana na kampuni zake tanzu. Benki hii ilianzishwa 1996 na kuorodheswa katika Soko la hisa la Dar es saalam (DSE) mwezi Juni 2009.

Kwa miaka kadhaa sasa, benki ya CRDB imepata mafanikio makubwa kiutendaji na kuwa mshirika muhimu katika utoaji wa huduma za kifedha katika ukanda wa Afrika Mashariki. Mafakinio hayo yanatokana na huduma kuwa bora na kuifanya Benki yetu ya CRDB kuaminika katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Location

0 Reviews